21/07/2026
π¨ CONFIRMED:Abdulnasir Muhamed rasmi ajiunga na kikosi cha young africans.
Binafsi naona ni mchezaji mzuri,na anaweza kufanya vizuri katika klabu iyoβ½β
Je wewe una uzungumziaje usajili huu walio ufanya young Africans comment apo ππ
07/07/2026
π₯π₯Dakika za jiooooon Egypt wameshindwa kushikilia bomba kabisa ππ
Ft Argentina 3 π 2 Egypt
06/07/2026
MAMA AMETEMBELEA π
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
Amemtembelea Pacome kumpa pole na moyo.
Uongozi ni Kujali. Uongozi ni Kuwapo. πΉπΏ
Tuseme Asante MAMA π
sc Mtaani
30/06/2026
π₯π₯π₯Yanga bingwa πππ 25/36
29/06/2026
Follow my Instagram account ππ
Inocent Chinyali (@inocentchinyali) β’ Instagram photos and videos
9 Followers, 4 Following, 1 Posts - See Instagram photos and videos from Inocent Chinyali ()
29/06/2026
Ligi inafungwa kesho! β½ Ni timu gani inakupa presha?
27/06/2026
π₯π₯Mambo ni mukidi mukide,hat-trick ya kibabe kwa Allan okello.
premier league
17/06/2026
π₯Dakika 45 zimekamilika,Singida Black Stars wakiwa mbele kwa bao 3 β½β½β½ dhidi ya Dodoma jijiπ₯π₯
Je Dodoma jiji anaweza kufanya come back kipindi cha pili toa maoni yako mwana mtaa??