Watani WA CAMP

Watani WA CAMP

Share

D1 UMOJA FC.GHI1 FC BILOMBE.ALLIANCE DE FORCE.O3 ASKU.FEBA ESPOIR.AB1 SIMBA SC.CD3 GHETTO BOYS.Q1 MTETEZI.MAUNZO .

05/08/2026

🚨πŸ”₯ WATANI WA CAMP UPDATES πŸ”₯🚨
BANA CONGO FC πŸ‡¨πŸ‡© IMEAMUA KUBADILI NGOZI! 😎🦁
Klabu ya Bana Congo FC imezindua LOGO MPYA RASMI yenye muonekano wa kisasa na wa kiwango cha juu.
Wapinzani wameanza kuuliza: "Mbona mmeanza na logo kali hivi, je mnataka na kombe pia?" πŸ˜‚πŸ†
Jibu la Bana Congo FC: "Tulianza na nembo, safari inayofuata ni ushindi." πŸ’ͺ⚽
⭐ Mwaka wa kuanzishwa: 2021
Karibuni muione sura mpya ya Bana Congo FC.
BANA CONGO FC πŸ‡¨πŸ‡© "Nembo mpya, ari mpya, malengo makubwa!" πŸ’™πŸ§‘βš½

05/08/2026

🚨 TANGAZO RASMI | WATANI WA CAMP 🚨

TUMERUDI! NA TUMERUDI KWA NGUVU ZAIDI! πŸ”₯⚽

Baada ya kipindi cha ukimya kilichotokana na changamoto za udhamini wa timu ya Watani wa Camp F.C, sasa tumerejea rasmi kwa nguvu mpya na dhamira mpya!

Kuanzia leo, ukurasa huu utakuwa nyumbani pa kila mpenzi wa soka wa Kambi ya Nyarugusu. Utapata: πŸ”₯ Habari za moto za soka. ⚽ Matokeo ya mechi kwa wakati. πŸŽ™οΈ Uchambuzi wa kina. πŸ˜‚ Utani wa soka usio na mipaka. πŸ“Έ Picha na matukio ya kusisimua kutoka viwanjani.

K**a ulikuwa umetukosa, sasa ni wakati wa kurudi nasi!

LIKE πŸ‘ | FOLLOW βœ… | SHARE πŸ”„ | COMMENT πŸ’¬

Waalike marafiki zako wote wajiunge nasi, kwa sababu Watani wa Camp imerudi rasmi na safari imeanza upya!

WATANI WA CAMP – SAUTI YA SOKA LA KAMBI YA NYARUGUSU! ⚽πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

04/08/2026

πŸ‡¨πŸ‡© BANA CONGO FC πŸ‡¨πŸ‡©

🚨 USAJILI RASMI UMEFUNGULIWA 🚨

Kwa maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2026/2027, Bana Congo FC inatafuta wachezaji wenye vipaji watakaokuwa sehemu ya safari ya klabu.

⚽ USAJILI NI BURE β€” HAKUNA ADA YOYOTE βœ…

Tunatafuta: πŸ₯… Walinda mlango
πŸ›‘οΈ Mabeki
🎯 Viungo
πŸ”₯ Washambuliaji

πŸ† Msimu ujao tunalenga kushiriki mashindano ya ngazi ya juu (Daraja la Pili /

⏳ MWISHO WA USAJILI: 01 SEPTEMBA 2026

BANA CONGO FC πŸ‡¨πŸ‡©
Kipaji Leo, Historia Kesho πŸ†

28/07/2026

TAARIFA KWA UMMA

Uongozi wa Watani wa Camp F.C unapenda kuwataarifu wadau wote wa soka kuwa, kuanzia sasa, ukurasa wa Watani wa Camp utakuwa ukurasa rasmi wa klabu ya Watani wa Camp F.C.

Makabidhiano ya akaunti hiyo yamefanywa rasmi na Mwenyekiti wa Watani wa Camp, na kuthibitishwa pia na Msemaji wa Klabu kupitia vyombo vya habari.

Aidha, msemaji wa klabu amesisitiza kuwa kwa sasa uongozi bado haujatoa uamuzi rasmi kuhusu daraja ambalo timu itashiriki msimu ujao. Hivyo, klabu bado haijathibitisha iwapo itashiriki Daraja la Kwanza, Daraja la Pili, au Daraja la Tatu (GAPI).

Wanachama, mashabiki na wadau wote wanashauriwa kufuatilia taarifa rasmi zitakazotolewa kupitia ukurasa huu pekee.

Imetolewa na:
MSEMAJI WA WATANI WA CAMP F.C

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kasulu?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Https://www. Facebook. Com/profile. Php?id=61577682885150
Kasulu