Mgungile Media

Mgungile Media

Share

Nyumba ya Michezo Pata habari za michezo zisizo na shaka ndani yake, kwa urahisi na haraka.

09/12/2025

LUIS MIQUISSONE KURUDI SIMBA

Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone.

Kuna uwezekano mkubwa Joshua Mutale akatolewa kwa mkopo endapo atakuwa tayari ama kuvunjiwa mkataba. Kumpisha Luis.

Kwa nini Miquissone? Kwa Mujibu wa mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, ni kwamba walichoangalia kwa kina na wanaona kina mashiko….

1. Ni fomu yake ya sasa ndani ya UD Songo plus numbers.

2. Pili uzoefu wake Ligi ya Bongo na kuyajua mazingira kwa ujumla. Pia anaujua utamaduni wa Simba.

3. Tatu anatwanga mashindano ya CAF kwa kuwa timu yake haikushiriki tofauti na wachezaji wengi wazuri waishatumika na timu zao ngumu kuwatumia tena msimu huu. Kanuni za CAF zinawabana.

Photos from Mgungile Media's post 09/12/2025

MANENO YA FADLU DAVIDS BAADA KUISHA KWA MSIMU WA NBC PREMIER LEAGUE 2024/25.

"Mambo mengi yameharibika nje ya uwanja msimu huu na hiyo inatukatisha sana tamaa."- Fadlu Davids.

"Sasa inabidi tukae sisi na viongozi ili kuona k**a malengo yao yanalingana na yangu kisha tuamue jinsi ya kusonga mbele."- Fadlu Davids.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kihesa
Iringa
162IRINGA