21/07/2026
๐จ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: FIFA imethibitisha haitatoa adhabu yoyote kwa Kiungo wa Argentina Leandro Parades baada ya kumshambulia kiungo wa Spain Gavi baada ya Fainali ya kombe la Dunia.โ๏ธ๐
FIFA Inasema ni jambo la Kawaida kwa mchezaji mara anapo kuwa kapoteza mchezo huwa k**a Mbogo ila hakuna Hatua zozote za Kinidhamu dhidi yake na Kadi nyekundu ambayo Mwamuzi Slavko Vincic alimuonyesha Parades FIFA imefutwa.
19/07/2026
๐จ๐ | USIKU Wa Leo Ni Wa Historia!
Dakika 90 zinaweza kubadili historia ya soka duniani!
Lionel Messi anawania kuhitimisha safari yake ya Kombe la Dunia kwa ubingwa mwingine wa kihistoria, huku Lamine Yamal akisaka kuandika ukurasa mpya kwa kuiongoza Uhispania kutwaa taji la dunia.
โฝ๐ Argentina ๐ฆ๐ท ๐ Uhispania ๐ช๐ธ
Ni nani atainua Kombe la Dunia usiku wa leo? ๐ฆ๐ท au ๐ช๐ธ
> Check comment
18/07/2026
๐ | England ๐ฌ๐ง vs France ๐ซ๐ท | Vita ya Nafasi ya Tatu!
Kombe la Dunia linaelekea ukingoni, lakini bado kuna pambano kubwa la kuwania nafasi ya tatu.
England na Ufaransa zinakutana kwenye mechi inayotarajiwa kuwa na kasi, ushindani mkubwa na mbinu za hali ya juu.
Je, nani ataibuka na ushindi leo?
๐ฌ Check Kwenye Comment Kuna Mchongo.!
15/07/2026
๐จ | RATIBA YA LEO: Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026 ๐โฝ
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England ๐ ๐ฆ๐ท Argentina
๐ Saa 4:00 Usiku (22:00 EAT)
Mshindi wa mechi hii atatinga fainali kupambana na Hispania.
Ni nani unaamini ataibuka na ushindi? ๐๐ฅ
> Kisha chungulia kwenye comment
14/07/2026
๐ฅ Leo ni Mbappรฉ vs Yamal... El Clรกsico ya kimataifa!
๐ซ๐ท Ufaransa ๐ Hispania ๐ช๐ธ
๐ Saa 4:00 usiku | Nusu Fainali ya Kwanza โ Kombe la Dunia 2026
Hispania imeiondoa Ufaransa kwenye mashindano makubwa mara mbili mfululizo, EURO 2024 (2-1) na UEFA Nations League 2025 (5-4). Je, leo Mbappรฉ na wenzake watalipa kisasi, au Yamal ataiongoza Hispania tena?
Unampa nani nafasi ya kutinga fainali? - Tukutane kwenye comment kuna mchongo nimeweka
๐๐ฅ
10/07/2026
๐ฉ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : World Cup Quarter Final
FRANCE ๐ซ๐ท 2๏ธโฃโ๏ธ0๏ธโฃ MOROCCO ๐ฒ๐ฆ
โ๏ธ 28" Mbappe (p)
โฝ๏ธ 60" Mbappe
โฝ๏ธ 66" Dembele
> Yapi maoni yako juu ya matokeo haya?
09/07/2026
โฝ๐ KITENDAWILI Cha Ufaransa๐ซ๐ท Au Morocco๐ฒ๐ฆ Wa Kukitegua Kuna Jambo lake Kwenye Comment!
> Ni nchi mbili zenye ufanano katika historia na wengi wakitajwa k**a watu wa Afrika.
> Je, Nani unampa Ushindi? - Tukutane Comment ya Kwanza.!
06/07/2026
๐โฝ Leo Kombe la Dunia ni Hispania dhidi ya Ureno.
Hii ni hatua ya 16 Bora. Kule ni Ronaldo huku Lamine...!
Hapo utampa nani? - Check Mchongo kwenye comment.!
03/07/2026
๐จ | MECHI YA KIBABE.!!! Nafasi nzuri ya dau la kibabe! ๐ฐ
๐ฆ๐ท Argentina - ๐จ๐ป Cabo Verde
Odds: W1 โ 1.14 | X โ 9.00 | W2 โ 23.00
Utabiri: Argentina wanaingia kwenye mechi hii wakiwa ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na kikosi chao kilichojaa mastaa. Cabo Verde kuna uwezekano mkubwa wakajihami nyuma kabisa na kutafuta mashambulizi ya kushtukiza, lakini Albiceleste wanatarajiwa kutawala mchezo na kutengeneza nafasi nyingi za mabao. Utakuwa mchezo wa kujiamini kutoka kwa Argentina, lakini huenda wasifunge mabao mengi dhidi ya mpinzani mwenye nidhamu.
Mkeka: Total Under 3.5 au Argentina Kushinda na Total Under 4.5
Angalia Commented ya Kwanza
๐
02/07/2026
๐ฉ | MECHI Kali Leo
๐ช๐ธUhispania - ๐ฆ๐นAustria
Odds: W1 โ 1.65 | X โ 3.85 | W2 โ 5.40
Je Unajua?: Wahispania kwa kawaida watatawala umiliki wa mpira, lakini Waaustria chini ya Ralf Rangnick wanajulikana kwa pressing yao kubwa.
Utakuwa mchezo mgumu na wa kukaza, kwa hivyo usitarajie idadi kubwa ya mabao
Check Kwenye Comment - Kisha Weka: Total Under 2.5 au Uhispania Kufuzu au mnasemaje?
๐