29/08/2026
Vijana wakazi
💠Official Page of @ngogombafc_
◽Under the city council of Dodoma
◽Four Division champions 2020
◽EST 2020
✏️Walima Mtama 🎮
29/08/2026
Vijana wakazi
03/08/2026
Point 3 muhumu kwetu Mapemaaaa ✍🏻🔥🫵
03/08/2026
💥Mda 🌟 ndo huuu
02/08/2026
🔥KESHO TUNAWAKA! 🔥💚
✍🏻NGOGOMBA FC vs MGULUKA FC
Saa 10 jioni, Loje School Stadium ndio patamu!
💪🏻Simba wa Ngogomba tumeshajipanga, jezi yetu mpya ya kijani inawaka! 🦁⚽️ Mguluka mpo?
Usipange kukosa, njoo na rafiki yako!
30/07/2026
Kosi kazi 🔥🫵🏻
29/07/2026
tunamengi yanayo kuja na makubwa 🙉
27/07/2026
🟢⚪ NEXT MATCH ALERT! ⚪🟢
✍🏻Simba wa Ngogomba tunarudi uwandani! 🦁
📅 TAREHE 3 MWEZI WA 8
Tunajiandaa kwa vita kubwa! Vijana wapo fiti na morali iko juu.
🔥Tukutane kwa wingi tukaishangilie timu yetu pendwa. Ushindi ni lazima!
#2022
25/07/2026
💥Chezaji hatari Zaidi🔥 Wape SALAMU zao Upande wa PILI✍️🫵🏻
Ni team Yetu tuipende sote
25/07/2026
💥NGOGOMBA FOOTBALL CLUB 🦁
✍️Umoja, Nguvu, Ushindi! Vijana wetu wapo tayari kwa msimu mpya. Hapa kazi tu!💥
Established 2022, bado tunaandika historia.