21/08/2026
Akiwa uwanjani ni zaidi ya mchezaji 🔰
Akiwa bench ni kocha mchezaji 😁 .
Kujituma na kupambania nembo ya Yanga kuna fanya apendwe sana na wanasimba.
I'm really looking forward to seeing Aziz Ki on the pitch! ⚽⚽
Amirkhan Yanga Sports
12/08/2026
KIKOS CHETU CHA MAANGAMIZ HIKI HAPA.
MAAFA YAPO LEO?
Amirkhan Yanga Sports
31/07/2026
NDANI NTITI - NJE NTITI
Yanga SC bado wako kambi ya PRE SEASON wakiendelea na maandalizi ya msimu mpya, na tayari wameungana na nyota wao wapya waliowatambulisha na wengine wanataraji kujiunga na timu hivi karibuni,
Ifuatayo ni idadi na orodha ya wachezaji wa kigeni watakaounda (Wachezaji 12 WA kigeni wanaohitajika kwa msimu)
IDADI/ORODHA YA NYOTA WA KIGENI:
1.Diarra Djigui
2.Kouassi Yao
3.Boka Shadrack
4.Max Nzengeli
5.Duke Abuya
6.Allan Okello
7.Peter Shalulile
8.Ibrahima Troure
9.Kangwanda
10.Fred Ngoma
11.Zakouani
12.Oumar K**aro
K**a kuna mchezaji hujamuona kwenye orodha hii, huyo sio sehemu ya wachezaji wa kigeni watakaoiwakilisha Yanga SC ndani ya msimu unaotaraji kuanza.
NB:
Najua maswali ni mengi ila haya ya sasa ndio majibu ya kila swali toka kwenu.
Amirkhan Yanga Sports
25/07/2026
🚨UPDATE:Nyota mpya wa Yanga,Justice Figuareido,anatarajia kuingia Tanzania jumapili ya kesho ili kukamilisha taratibu zote za kupiga picha na kutambulishwa na Yanga.
Yanga wamelipa tsh 473m kwenda Chippa United ili kumpata nyota huyo.
Kaa karibu na usajili_na_hansrafael14
23/07/2026
DICKSON JOB
AREJEA KIKOSINI. Tayari Kuunza Msimu mpya.