02/06/2026
Mwezi Mkubwa kwa Wananchiπ°πͺπ½
@
Young Africa is the oldest and biggest football club/ team in Tanzania East and entire Central Africa
02/06/2026
Mwezi Mkubwa kwa Wananchiπ°πͺπ½
@
16/05/2026
π
πβ|
JKT Tanzania 0π2 Young Africans SC
16/05/2026
ππβ|
JKT Tanzania 0π2 Young Africans SC
16/05/2026
Kikosi kazi dhidi ya JKT Tanzaniaπ°πͺπ½
15/05/2026
βKwa kipindi cha takribani miaka 90, klabu hii imeendelea kubeba ndoto na dhamira ya dhati ya kuwa na uwanja wake binafsi. Sisi, k**a Wananchi tunajivunia mno maono, juhudi na uzalendo wa viongozi waliotutangulia. Viongozi hao walijitolea kwa hali na mali kuhakikisha wanatuachia msingi imara unaobeba historia, heshima na utambulisho wa klabu yetu.
Kupitia juhudi zao, klabu ilifanikiwa kumiliki eneo la ardhi lenye ukubwa wa mita za mraba 35,000 hazina ambayo imehifadhiwa kwa zaidi ya miaka 50. Leo hii, kwa fahari kubwa Wananchi tunaelekea kutimiza ndoto hiyo ya kihistoria kwa kuanza safari ya kujenga uwanja wetu wenyewe.β Eng. Hersi Ally Said
MUONEKANO WA UWANJA MPYA WA KISASA WA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB
YANGA DAMU DAIMA
15/05/2026
DHAHABU YA JANGWANI
TUITUNZE, TUILINDE NA TUIPENDE
Rais wa mpira
Follow page yetu YANGA DAMU DAIMA
15/05/2026
Muda mchache kuanzia sasa ππππππππ inaandikwaπ