21/08/2026
Hello Fans .
Fred Ngoma Jana alikuwa na kazi Moja Kuituliza timu Kwenye Eneo la Kiungo kwa kutumia Pasi Sahihi 🔥
Ndani ya Dakika 10 alipiga Pasi 8 ikiwa Hakukosea Hata pasi Moja.
Anajua kupiga pasi Kwenye Maeneo salama 👌
Anajua kuepuka Pressure kwa kupiga Pasi Sahihi ✅
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans .
Aston Villa imekamilisha rasmi usajili wa beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka kutoka West Ham United kwa mkopo.
📌 Mkataba huo una kipengele cha wajibu wa kumsajili moja kwa moja endapo masharti maalum yatatimia.
Wan-Bissaka sasa anaelekea Villa Park kuanza sura mpya ya maisha yake ya soka akiwa chini ya Aston Villa.
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans .
Kwenye Makaratsi ya kimfumo Albert Kangwanda utamkuta Amesimama k**a Winger wa Kulia au Kushoto.
Lakini Ukienda kumtaza Uwanjani mambo yapo Tofauti sana, Anacheza k**a Free Role player 🔥 Yaani anaizima kulia, Kushoto, katikati....kwasababu huyu Versatile player yaani anamudu kucheza Postion Nyingi ndani ya Mechi Moja🔥
Ubora wa Nyakati Kushambulia katika Maeneo yote ya Uwanja yanaanza na Huyu jamaaa🔥
Chaziada Zaidi..👌
Huyu jamaa kwa Mujibu wa Sayansi ya Michezo Tunamuita Winger Forward Attacker Yaani Mikimbio Yake Haendi mbali na Lango la Mpinzani ili Afunge mabao.
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans .
Chadrack Boka anatimiza Vizuri sana Majukumu yake k**a Mlinzi wa Kushoto.
Anakaba kwa Wakati ✅
Anashambulia kwa Wakati ✅
Anaendana na kasi ya Mchezo ✅
Lakini Anakosa Usahihi wa Matendo Kwenye Hatua ya Mwisho anapokuwa Anashambulia.
Anatumia Energy kubwa Kwenye Kutengeneza Nafasi Pasipo kuangalia Umbali wa Goli na Pasipo kuangalia Postion ya Mshambuliaji wake.
Hivyo Anakosa Vitu Viwili vikuu.
✅Scanning
✅Utulivu
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans .
Top Scorer NBC PRIMIER League.
1. Jonathan Sowah... Bao 2
2. Maxi Nzengeli...Bao 2
3. Abdul Suleman...Bao 2
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans.
Kocha wa Yanga, Baada ya Mechi Jana alieleza Sababu za kumpanga Mohamed Hussein Kwenye Eneo la Winga wa Kushoto kwasababu Anaibora Mkubwa Kwenye Mipira ya Krosi.
Unamuona Mohamed Hussein imemfaa sana Hiyo Nafasi?...
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans .
Thomas Partey akitarajiwa kukamilisha vipimo vya afya leo, Al Shabab wanaendelea kujenga kikosi chenye mchanganyiko wa nyota wakubwa wa kimataifa na vipaji bora vya ndani.
Usajili wao katika dirisha hili la majira ya kiangazi umevutia:...
🇨🇴 Roger Martínez
🇬🇭 Thomas Partey
🇭🇷 Tin Jedvaj
🇸🇳 Mamadou Barry
🇵🇹 Luis Maximiano
🇧🇷 Carlos Júnior
🇨🇭 Seiro
🔥 Na bado kuna wachezaji wengine wenye ubora ndani ya kikosi hicho!
Uongozi wa Al Shabab unaonekana kufanya kazi kubwa kwenye dirisha hili la usajili, huku ukijenga timu ambayo inaweza kuwa miongoni mwa timu zenye kuvutia zaidi Saudi Arabia msimu ujao.
Ikiwa nyota hao wataweza kuunganika vizuri uwanjani, Al Shabab inaweza kuwa timu ya kuangaliwa sana msimu huu!
Chanzo;Ibrahim Sannie Daara
✍ Mr. Sports Sciences
21/08/2026
Hello Fans .
Kiungo nyota wa Ghana, Thomas Partey, amewasili Saudi Arabia kukamilisha uhamisho wake kwenda Al Shabab.
Partey, ambaye awali aliwahi kuitumikia Arsenal, anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo kabla ya kusaini mkataba wake mpya wenye thamani kubwa k**a mchezaji huru (free agent).
Hatua mpya inaanza kwa Partey katika soka la Saudi Arabia!
Chanzo;Ibrahim Sannie Daara
✍ Mr. Sports Sciences
20/08/2026
Hello Fans.
João Pedro amekuwa mchezaji wa 12 kupewa jezi maarufu namba 9 ya Chelsea tangu mwaka 2004. 🔥
Orodha ya washambuliaji waliovaa No.9 Chelsea:
🇷🇸 Mateja Kežman — Mabao 7 katika mechi 41
🇦🇷 Hernán Crespo — Mabao 13 katika mechi 42
🇦🇷 Franco Di Santo — Mabao 0 katika mechi 16
🇪🇸 Fernando Torres — Mabao 45 katika mechi 172
🇨🇴 Radamel Falcao — Bao 1 katika mechi 12
🇪🇸 Álvaro Morata — Mabao 24 katika mechi 72
🇦🇷 Gonzalo Higuaín — Mabao 5 katika mechi 19
🏴Tammy Abraham — Mabao 30 katika mechi 82
🇧🇪 Romelu Lukaku — Mabao 15 katika mechi 44
🇬🇦 Pierre-Emerick Aubameyang — Mabao 3 katika mechi 21
🏴Liam Delap — Mabao 2 katika mechi 35
🇧🇷 João Pedro 🆕 — Sasa zamu yake! 🔥
Je, João Pedro ataweza kuvunja laana ya jezi namba 9 Stamford Bridge na kuwa mmoja wa No.9 bora zaidi katika historia ya Chelsea?
✍ Mr. Sports Sciences