UKIJUA RINGA😃
Muite Mau Gado Tz
New Viwege Joga
Mazoezi ni Afya uchumi pamoja na kufanya majambo ya jamii kwa ushirikiano na upendo.
Unaweza ukatuita VIWEGE NATION na hivi ndio vitu tunavyopenda kufanya kila kukicha...
18/06/2026
NEW LOGO IN TOWN
06/06/2026
Picha mbalimbali zikionyesha tulivyokuwa tukifanya usafi kituo cha afya cha Viwege kinachotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
Sisi k**a New Viwege Joga hatupo mbali na jamii yetu na haya ndio majambo tunayoishi kila siku katika mazingira yanayozunguka.
Uzuri wa hivi vitu ujue kunata na beat😃
23/05/2026
31/05/2026📌
FURAHA YA WANANew Viwege Joga 🔥🔥🔥
22/04/2026
FOCUS 👀
22/04/2026
KWA MAJINA ANAITWA TRAINER CHUSE Chusse Boy Liverpool MWALIMU MKUU WA New Viwege Joga MAZOEZI YAKE NDIO NGUVU KWETU, NA TUNAFURAHIA UWEPO WAKE🤗
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam