Newcastle era is going down man Transfer on their team is keeping weaker the squad depth and the next season is starting without them bringing the players we see them to replace their gap
Is this really the end of Newcastle ?
Oran media Tz
Hii ni page ya michezo unachokitapa ni uchambuzii makini na mada mbalimbali kuhusu mpira wa nje na ndani ya nchi bila kusahau matukio yakila siku ya michezo
06/08/2026
Who am I ?
06/08/2026
PLAYER SPOTLIGHT #001 ⭐
Lamine Yamal si tena “future prospect”. Tayari anaonyesha kiwango cha mchezaji wa dunia akiwa na umri mdogo sana.
Uwezo wake wa kupiga chenga, kufanya maamuzi na kubadili mechi umeifanya Barcelona imtegemee mapema kuliko wengi walivyotarajia.
Swali ni moja…
Je, ataweza kufikia kiwango cha Messi, au tutakuwa tunamuwekea matarajio makubwa sana?
👇 Tuambie maoni yako.
06/08/2026
Barcelona’s midfield is in safe hands. 🔵🔴
Pedri. Rodri. Dani Olmo.
Three players with vision, intelligence, and the quality to control any game.
If this trio clicks, Barcelona could dominate midfield for years to come. 🔥
Do you think this would be the best midfield in Europe? 👇
21/04/2026
Imefichuliwa: Jürgen Klopp, Mauricio Pochettino na Didier Deschamps ndio makocha wanaoongoza kupewa nafasi k**a Real Madrid wataamua kutompa nafasi ya kuendelea Álvaro Arbeloa, kwa mujibu wa .
“Meneja wa timu ya taifa ya Marekani, Mauricio Pochettino, bado ni chaguo kubwa, anaheshimika sana na Florentino Pérez, na mkataba wake unaendelea hadi baada ya Kombe la Dunia la majira ya joto,” ripoti hiyo inaeleza.
“Jürgen Klopp pia anawavutia viongozi wa Madrid, ingawa yeye na wakala wake wamekuwa wakikanusha taarifa hizo mara kwa mara, wakisema ameridhika na nafasi yake ya sasa katika Red Bull.”
“Didier Deschamps pia ametajwa k**a mgombea. Kocha huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa amekuwa madarakani tangu 2012, na mkataba wake unaisha baada ya Kombe la Dunia.”
16/04/2026
**“⚽🔥 MECHI YA PRESHA NA HISTORIA ⚖️
Anthony Taylor amechaguliwa kuchezesha pambano kubwa kati ya Manchester City na Arsenal.
Lakini mashabiki wengi wanakumbuka…
👉 maamuzi tata
👉 penalti za utata
👉 kadi zilizobadili mechi
Sasa kwenye mbio za ubingwa, kila uamuzi una maana kubwa sana 👀🔥
Swali ni moja tu:
👉 Unamuamini kuamua mechi hii? 🤔💬
Maana wakati mwingine… mpira hauamuliwi na wachezaji pekee.”**
What’s this
15/04/2026
Watu wangu wa nguvu sasa leo ndio ile sikuu sasa
Tupa karata yako mapema sana
Usilaumuu mtu baadae
Possible odds 💰💵
❤️Bayen 2-0 Real Madrid🤍
International break inaweza kuwa imeharibu ndoto za Arsenal 😳💔
”
ILA MKWARA BWANA
Click here to claim your Sponsored Listing.