π°π°π° Wanaokutana na Yanga ndio wanaojua Moto wa Yanga π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Yanga soccer school
Wapambanaji wetu wa kesho π°π°π°π°
π°π°π° Mwamba Hiyo Bila shaka Tumemiss Ndani ya pitch π₯π₯π₯
Tumuombee Apone Haraka jamani ποΈποΈποΈποΈ
π°π°π° Mke wa Skudu Anasema hawezi kusahau Nyimbo za Wananchi Kipindi Mme wake alikuwa Anaichezea yanga π₯π₯π₯π₯π₯π₯
30/08/2026
Miamba ya soka nchini, Simba SC na Yanga SC, inakabiliwa na ratiba ya vipimo vizito katika michuano ya ndani na kimataifa kabla ya kukutana kwenye mchezo wa watani wa jadi (Kariakoo Derby) uliopangwa kupigwa Oktoba 10.
Mechi (4) Zijazo za Simba π¦: ππΌ
β’ Agosti 31: Dhidi ya Geita Gold (Home)
β’ Septemba 6: Dhidi ya Mighty Wanderers (Away) CAFCL
β’ Septemba 9: Dhidi ya Azam FC (Away)
β’ Septemba 13: Dhidi ya Mighty Wanderers (Home) CAFCL
Mechi 4 Zijazo za Yanga SC (Wananchi): ππΌ
β’ Agosti 31: Dhidi ya Fountain Gate (Away)
β’ Septemba 5: Dhidi ya Gaborone United (Away) CAFCL
β’ Septemba 8: Dhidi ya Geita Gold (Home)
β’ Septemba 12: Dhidi ya Gaborone United (Home) CAFCL
NOTE: Baada ya kukamilisha ratiba hizo pamoja na kupisha kalenda ya michezo ya kimataifa ya FIFA, miamba hiyo itavaana rasmi kwenye Kariakoo Derby tarehe Oktoba 10.
NB: Nani ana ratiba Ngumu kuelekea K/Dabi Oktoba ??
30/08/2026
π°π°π° Mwanainchi Usipange kukosa Kesho π₯π₯π₯π₯π₯
Tukutane Arusha Tukagawe Dozi π₯π₯π₯π₯
30/08/2026
π£π₯ππ¦π¦ ποΈ
βHizi ni miongoni mwa mechi ngumu na ni muhimu sana Kushinda, tunafahamu Fountain Gate wana mwalimu mzuri ambaye amewahi kuwa sehemu ya Benchi la Yanga hivyo anajua tamaduni za klabu, Ni mzoefu na ana wachezaji wazuri, Sisi k**a Yanga tunapaswa kufanya kazi kubwa ili kushinda keshoβ
βTunafahamu wapinzani wetu wamepoteza michezo kadhaa hapo nyuma lakini jukumu letu ni kuheshimu kila mchezo, tumewaangalia Fountain Gate namna wanavyocheza na leo tunakwenda kufanya maandalizi ya mwisho ya kucheza nao, naamini tutakuwa na Mechi nzuriβ
βNawaomba sana Wananchi waje kwa Wingi, wao ni muhimu sana kwa timu, ni muhimu pia Kwangu k**a kocha kwasababu wananipa morali ya kufanya vyema kila siku, nawashukuru sana kwa sapoti yao tangu tumefika hapa nchini na nawaomba kesho waje ili tushinde pamojaβ
π£οΈ Manqoba MNGQITHI
30/08/2026
π°π°π° Mawata pleyaa wakipasha misuliπͺπ₯π₯π₯π₯
30/08/2026
The best picture of the Day ππππππππ₯π₯π₯
30/08/2026
π¨Mechi 4 zijazo za Wananchi π°
September 1, Vs Singida Black Stars (Away)
September 5, Vs Gaborone United (Away)
September 8, Vs Geita Gold (Home)
September 12, Vs Gaborone United (Home)
Baada ya hapo,Kalenda ya FIFA....DERBY October 10
30/08/2026
π©π¨β¬STRAIKA HATARI πͺπππππ π°πππππππ π»πΆπΌπΉπ¬ ameweka wazi kwamba mchezaji mwenzake, Peter Shalulile ni mtu mzuri na mwema sana kwake kwani mara zote amekuwa akimsapoti na kumtia moyo hasa kipindi ambacho alikuwa hafungi.π«
Toure ameongeza kwamba anajisikia fahari sana kucheza na wachezaji wakubwa k**a Shalulile, Housseine na wengine wengi. Mwisho kabisa, amesisitiza kuwa anatarajia kufunga magoli mengi sana akiwa na Young Africans π₯
Click here to claim your Sponsored Listing.