29/08/2026
Je unadhani ni sawa kufuata hii?
Actor๐|| Story Telling & Writer || INFLUENCER EAST AFRICA || English & Swahili || I protect your mental health ๐๐..
YouTube ๐ for more || Email me for booking and Promo ||
29/08/2026
Je unadhani ni sawa kufuata hii?
29/08/2026
Naomba mnipatie timu ya kushabikia wakuu, kati ya simba na yanga nipite na ipi
Sikuwa online kwa week sita sijui kitu gani kimenipita, eti nini kinaendelea ungependa nijue
Nataka nishabikie timu ya mpira moja tu bongo niambie niwe timu gani
24/08/2026
Ilaa๐๐
Niseme nini nieleweke, inamaana ndo kweli sipati mchumba au sina mvuto, nimechoka kuwa single
22/08/2026
Uhhhh๐ญ๐ญ
Pita tu kwa kuwa sio wako๐ญ๐ญ๐ญ
22/08/2026
Heeee
Wanaume wote ni umbwaa mimi wakuachwa bila taarifa kweli...au mimi ndo sijabahatika kupata anayeeleweka?
17/08/2026
Pambana
12/08/2026
Jinsi ya Kuongea na Mtu Unayemtamani (Bila Kuuliza Maswali!)
Ukikutana na mtu unayemtamani, kuanza kumuuliza maswali ya mahojiano ("Unatoka wapi?", "Unafanya kazi gani?", "Una umri gani?") kunaua msisimko mara moja. Maswali yanamfanya ajihisi yuko kwenye mtihani au mahak**ani.
Ukiacha maswali na ukaanza kutumia kauli za uhakika (statements), unaonyesha kujiamini kwa hali ya juu, ucheshi, na thamani kubwa.
Zifuatazo ni mbinu za kuongea naye bila kuuliza swali hata moja
1. Mbinu ya "Kukisia" (Cold Read)
Badala ya kuuliza taarifa zake, kisia kwa tabasamu na kujiamini kulingana na muonekano wake. Hata k**a umekosea, itamfanya acheke na kuanza kukurekebisha.
Badala ya kusema: "Unapenda mziki gani?"
Sema hivi: "Unajua unafanana kabisa na watu wanaojifanya wanapenda mziki wa Jazz ili tu waonekane wana mambo mengi."
2. Toa Kauli Za Kukosoa Au Kutania (Playful Accusations)
Mlisie tabia yake kwa njia ya utani. Hii inajenga msisimko wa kimapenzi (sexual tension) mara moja.
Sema hivi: "Wewe unaonekana ni mtu wa matatizo kabisa. Inabidi nikuwekee umakini."
Sema hivi: "Nina uhakika wewe ni wale watu wanaochukua masaa 5 kujibu ujumbe wa simu."
3. Toa Amri Nyororo (Direct Commands)
Badala ya kuomba ruhusa au kuuliza kile mnachotakiwa kufanya ("Je, ninaweza kukaa hapa?" au "Tuhame hapa?"), toa maelekezo ya kujiamini.
Badala ya kusema: "Je, unaomba namba yako?"
Sema hivi: "Weka namba yako kwenye simu yangu. Haya mazungumzo tutaendelea nayo baadaye."
11/08/2026
Timu itakayotajwa sana ndo itakua timu yangu bado sina timu wewe je..?