15/08/2026
Bonge la plan kutoka kwa Young Africans na timu nzima ya maudhui .
yanga wamefanikiwa kuingiza 250M kutokana na viingilio vya Mashabiki waliojitokeza pale KMC Complex kutizama utambulisho wa X-FACTOR ambae si mwengine ni Aziz Ki.
Mchezaji Aziz ki amekabidhiwa Tena jezi yake ya namba Kumi baada ya Mchezaji Pacome Zouzoua kukubali kumkabidhi jezi hio.
oyaaaaa Ile namba 10 imerejea Tena kwenye viunga vya Twiga na Jangwani.
wananchi wanaimba ....shemeji....shemeji ..............shemeji ππ Master Ki karibu Nyumbani .
taka
11/08/2026
Huu ni Umafia wa hali ya Juu sana Yani baada ya Simba kumtambulisha Selemani Mwalimu siku ya Simba Day....wamafia wa Jangwani wakiongoza na Engineer Hersi wakapita nae bwana shwaaaaaaaaa.
10/08/2026
wageni wamekataa soda wanataka mia Saba zao π Elvis Rupia na Tony Talasi
08/08/2026
mshika mapembe πππ
30/07/2026
Sasa huyu Ghalib daaaah ππ....sema Nini Wakuu Mwenyezi Mungu niwetu sote ..k**a kosa ilikua kujisaidia sisi tutakuja kufanya usafi ππππ.
18/07/2026
unajua "Annie" kwenye wimbo wa Michael Jackson " Smooth Criminal" anatoka wapi ? anatambulika kwa jina la Resusci Annie , Manakin ya CPR iliyotengenezwa mwaka 1960 kufundisha uokoaji kwa wagonjwa waliopatwa na changamoto ya upumuaji k**a kuzama kwenye maji .
wakati Michael Jackson yupo kwenye Tour na kaka zake kwenye kundi lao Jackson 5 walifundishwa namna yakutoa huduma ya kwanza Kwa Mbinu ya CPR , ambapo wanafunzi hutakiwa kuuliza mdoli huo "Annie are you ok ? , ikimaanisha "Annie upo sawa " Ili kujua k**a Mgonjwa amepata ahueni.
hivyo Michael Jackson Akachukua kipande hicho Cha "Annie are you ok ? na kukitumia k**a kionjo kwenye wimbo wa smooth Criminal.
13/07/2026
Huko nchini Peru watoto 468 waliozaliwa mwezi huu wamepatiwa jina la Haaland huku watoto 91 kati ya hao wakipewa jina zima la Erling Haaland.
Haaland k**a wote πππ
02/07/2026
Nilichokiona kwenye mechi Ya ENGLAND dhidi Ya DR CONGO
Timu zote mbili zilianza mechi kwa kasi lakini baada ya DR CONGO kupata Goli kupitia shambulizi la kushtukiza lililomaliziwa na Cipenga mapema tu kipindi Cha kwanza.
baada ya kurejea kipindi Cha pili DR CONGO waliamua kukaa nyuma na kucheza kwa mfumo wa LOW BLOCK
ndio kocha Thomas Tuchel alipoamua kufanya vitu vifuatavyo Ili kuifungua DR CONGO
1οΈβ£ kutumia mipira yakutengwa (Set Pieces) k**a vile Kona na Foul.
2οΈβ£ Kutumia maeneo ya Pembeni (Wide Areas & Overlapping Full Backs) ambapo mashambulizi haya walitumika mawinga k**a Noni Madueke na Marcos Rashford. ambapo baadae wakatolewa kupisha Saka na Anthony Gordon.
3οΈβ£Kupiga mashuti Katika maeneo ya karibia na Boxi au karibu Zaidi (Shooting From Distance )
4οΈβ£ Pasi fupi za haraka (Quick short passes and Combination Play ) hii ilipelekea Uingereza kupata Goli la pili alilofunga Harry Kane akipokea assist kutoka kwa Anthony Gordon.
DR CONGO hawakua na Quality k**a ya ENGLAND lakini naamini walikua na uwezo wakuifunga ENGLAND ila kushindwa kwao kutumia nafasi zao na kuchagua kuzuia muda wote.