mpira wetu

mpira wetu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mpira wetu, Soccer Stadium, dar, Dar es Salaam.

17/03/2026

๐Ÿ”ฅ Wakiwa nyuma kwa 3-0, lakini Man City wanarudi Etihad kwa Comeback Kubwa! โšก๏ธ๐Ÿ’ฅ
Kinachowekwa rehani:
โšก City: Lazima wafunge magoli 3+ ili wabaki kwenye mashindano
โšช Real Madrid: Kulinda uongozi wa magoli 3
Je, Pep ataweza kufanya muujiza, au Madrid watatawala tena? ๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ Weka utabiri wako hapa chini! ๐Ÿ‘‡

17/03/2026

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akizungumza katika kikao cha maandalizi ya Ligi ya Muungano inayotarajia kuanza Aprili 21 hadi 27, 2026 katika Uwanja wa Amaan Zanzibar

27/02/2026

Mkurugenzi wa makampuni ya Jayrut, Joel Wegasira, ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kupost picha akiwa sambamba na basi jipya aina ya Irizar, huku akionesha hati ya kusafirisha gari hiyo kwa njia ya meli kuja Bandari ya Dar es Salaam. ๐Ÿšข๐Ÿ”ฅ

Kupitia ukurasa wake, Joel aliandika kwa kujiamini:
โ€œLas acciones hablan mรกs que las palabras ๐Ÿ“Œโ€
yaani, โ€œMatendo yanaongea zaidi ya maneno ๐Ÿ“Œโ€
Kisha akaongeza ujumbe mzito:
โ€œCanโ€™t wait to deliver the Best to My Best Team โ€ โค๏ธ๐Ÿฆ

Kauli hiyo imechochea shauku kubwa kwa mashabiki wa Simba Sports Club, maarufu k**a Mnyama. Wengi wanaamini hili ndilo basi jipya la kisasa litakaloibeba timu yao kwenye safari za mashindano ya ndani na kimataifa.

Mitandao ya kijamii imefurika pongezi na maswali โ€“ je, hili ndilo basi kali kuliko yote kuwahi kumilikiwa na klabu hapa nchini? Je, litawasili lini rasmi Dar es Salaam?
Kilicho wazi ni kwamba presha imepanda, na mashabiki wa Simba wanasubiri kwa hamu kuona โ€œmzigoโ€ huo ukitia nanga bandarini.
Wangapi wana hamu ya kuliona basi jipya la Mnyama? ๐Ÿฆ๐Ÿ”ฅ

Follow mpira wetu

27/02/2026

๐ŸšจKAMATI YA MASAA 72 Itakapoketi Kumsimamisha SELEMAN MWALIMU Isisahau Kuipa Simba Point 3

Imeripotiwa "โžก๏ธKANUNI Ya 17:32 Inasema timu inaruhusiwa Kubadilisha wachezaji Watano tu (5) Katika awamu zisizozidi tatu (3) Kwenye Mchezo mmoja..โœ๏ธ
SUBS: DODOMA JIJI

46โ€™ OUT - Augustino Nsata
IN - Anderson Solomon

73โ€™ OUT - Khleffine Hamdoun
IN - Daud Rashid

83โ€™ OUT - Faraji Kayanda
IN - Elias Maguli

92โ€™ OUT - Salmin Hoza
IN - Dickson Mhilu

97โ€™ OUT - William Edgar
IN - Wazir Junior

ADHABU

1. Timu itakayobadilisha wachezaji zaidi ya watano (5) itapoteza Mchezo na Kutozwa Faini

2. Timu itakayobadilii wachezaji wasiozidi watano (5) ila Kinyune na utaratibu wa awamu tatu (3) uliowekwa itatozwa Faini โœ…

3. Mabadiliko Wakati wa Mapunziko hayatahesabika K**a awamu

Note; Hii Mechi ilikuwa na Mambo Mengi sana ya Kidhalimu Unajiuliza Kulikuwa na Waamuzi /Wasimamizi wa Mchezo Kweli?"



Follow page yetu kupata habar zaid.

27/02/2026

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza rasmi waamuzi watakaosimamia dabi ya kusisimua kati ya Young Africans na Simba SC, inayotarajiwa kupigwa Machi 1, 2026. Mchezo huo utakaofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 2:15 usiku, unatajwa kuwa na umuhimu wa kipekee katika mbio za ubingwa wa NBC Premier League msimu huu.

โ€‹Orodha kamili ya waamuzi walioteuliwa ni:

โ€‹Mwamuzi wa Kati: Nassoro Mwinchui (Tanga)
โ€‹Mwamuzi Msaidizi 1: Kassim Mpanga (Dar es Salaam)
โ€‹Mwamuzi Msaidizi 2: Hamdani Said (Mtwara)
โ€‹Mwamuzi wa Akiba: Ramadhan Kayoko (Dar es Salaam)
โ€‹Mtathmini wa Waamuzi: Israel Mjuni (Dar es Salaam)

โ€‹Dabi hii inakuja wakati Simba SC wakiwa na presha ya kupata ushindi wa lazima ili kupunguza pengo la alama 5 dhidi ya Yanga SC. K**a alivyowahi kunukuliwa Meneja wa Habari wa Simba, Ahmed Ally, dabi ndio michezo inayotoa burudani halisi, hivyo macho ya mashabiki wote yatakuwa kwa waamuzi hawa kuhakikisha soka la haki na ufundi linatawala uwanjani.

21/02/2026

๐‡๐“: ๐Ÿš€ ๐“๐’ ๐†๐š๐ฅ๐š๐ฑ๐ฒ ๐Ÿ-๐ŸŽ ๐Ÿ‘† ๐Œ๐š๐ฆ๐ž๐ฅ๐จ๐๐ข ๐’๐ฎ๐ง๐๐จ๐ฐ๐ง๐ฌ

โšฝ๏ธ Sphamandla Ngwenya 19'
โšฝ๏ธ Junior Zindoga 32' (P)

14/02/2026

Jinsii mnyamaa alivyochukua point 3 kibabee mkapaa stadium ๐ŸŸ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar
Dar Es Salaam