Tanzanian Lad

Tanzanian Lad

Share

πŸ‹οΈβ€β™€οΈ Helping men build confident physique
πŸ“Œ Helping busy women tone body & Fatloss
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Natural Bodybuilding (Body) In Progress
DM "COACH" TO START

29/06/2026

Form > Load , namaanisha form ni nzuri kuliko uzito kwenye mazoezi πŸ™‚.

Kabla haujanivamia nisikilize , Huwa nawaambiaga wanangu kuwa "Ufanye mazoezi kwa kupatia au kwa kukosea njia zote utapata matokeo lakini tukija kwenye swala la Health Longevity pamoja na injury prevention hapo ufanyaji kwa usahihi una' matter zaidi"

Huwa nazingatia Form ili kuepusha unnecessary injuries , Mimi k**a mimi naweza kunyanyua almost x2.5 ya uzito wangu kwenye kila zoezi (As a PR not working weight) lakini sina Joint issues why coz najua kinachopaswa kufanywa ....

Fitip (Fitness Tip) ya leo ni hii , hakikisha kwenye kila weight unayoitumia kufanya mazoezi unaweza kufanya bila kuharibu Form ukiwa ndani ya Rep range uliyojiwekea.

Ukifika mwisho wa rep range ongeza uzito na uanze tena , Ni hivo tu ...

That's all for today , It's me - Coach Nasri
~ Your Accountable Fitness Coach

FOR PERSONAL TRAINING AND ADVICE
[email protected]
+255 780 950 330
Kinondoni, Dar es Salaam - Tanzania.

24/06/2026

Kwaiyo wanangu Tizi bwanga Msosi modo na mnataka matokeo au co , Sawaa ...

23/06/2026

HIVI WANANGU HUWA MNATUCHUKULIAJE πŸ˜† 🀣 πŸ˜‚..

​Week ya kwanza : Hii ni adaptation week yan k**a shule au uende ugenini , huu muda utaanza kuzoea kwa upande wa mazoezi mwili utaanza kuzoea uzito (load) ndo maana lazima usikie maumivu yana ukilinganisha na mtu aliyezoea hayo maumivu tunaita DOMS au DELAYED ON-MUSCLE SORENESS ...

​Baada ya Week ya 2 na ya 3 ukiwa consistently utaanza kugain strength kuna mazoezi ulikuwa unaona mtihani unaanza kuzoea , stabilization utaongezeka na hapa ndo wengi wanaanza kuona mazoezi washayamudu 😊 ...

​Week ya 4,5 na 6 hapa ndo wadau wataanza kukusanua yan kuna ile kukuuliza oya mwanangu saivi unapiga gym nini (Kauli zao ila gym aipigwi πŸ˜‚ ) ..."

​Week 7 mpaka 12 hapa naongelea miezi 3 ya consistency kwenye tizi ukizingatia Progressive overload kwenye chakula , mazoezi (uzito) , kupumzika ndo kuna nguo zitaanza kubana (k**a lengo ni bulking) kuna nguo zitaanza kuwa ndogo (k**a lengo ni Fatloss) ...

​NAWEZA KUSEMA NDO TUNANZA KUONA CHANGES ...

​Ila usitegemee kwamba hapo unaweza kuwa Sawa na mtu aliyefanya mazoezi miaka 5 hapo bado jipe miezi 8 mpak mwaka kwa kuanzia

​

22/06/2026

Hivi wanangu huwa mnatuchukuliaje yani πŸ˜† 🀣 πŸ˜‚

hiyo sisi tunaita "ADAPTATION WEEK" iwe ni beginner au ulishawahi kufanya alaf ukaacha takribani miezi 6+ , Iyo ni week ambayo mwili utaanza kuzoea tena movement patterns, load etc ....

So wanangu tuache hype tule tizi hakuna matokeo ya week 1 , 2 wala 3 😁.

19/06/2026

Time passes anyway so don't every give up no matter what.
Consistency = 53kg > 63kg (Peak was 69.5kg) pure muscles

It's me , Your accountable fitness coach - Coach Nasri
Reach out to invest on your body +255 780 950 330
For Personal Workout Program, Meal Planning & Indoor Training

My address @ Body Dynamics Gym , Kunduchi near Feza Boys

12/06/2026

last year when I was hungry for growth , Saivi sijui nmekutwa na nini 😒

06/06/2026

Photos from Tanzanian Lad's post 04/06/2026

"Your only competition is who you were yesterday πŸ’ͺ"

03/06/2026

ALTERNATIVE EXERCISES FOR BELT SQUAT
1. LANDMINE SQUAT
2. DB SUMO SQUAT

Lack of machines shouldn't be a reason of not doing a certain workout/ exercise, every exercise falls into these categories ...
1. FREE WEIGHT EXERCISES
2. MACHINE EXERCISES

It's me, Your accountable fitness coach - Coach Nasri

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Dar Es Salaam