04/08/2026
Yanga On Fire
Ofiicial account ya YANGA ON FIRE. Karibuni sana mashabiki wenzetu wa YOUNG AFRICA SC.
04/08/2026
03/08/2026
Tawi la Yanga on fire lina toa pongezi wajumbe wote walio chaguliwa katika uchaguzi mkuu ulio fanyika 02/08/2026.
Pia tunashukuru Wajumbe ambao kura zoa hazija tosha tuna shukuru kwa kuonesha nia njema yaku ipambania club yetu ya Young Africans Sports Club katika nyanja za maendeleo.
Pongezi nyingi kwa wajumbe kutoka katika tawi la yanga on fire kwa kutimiza haki haki Yao ya kikatiba hakika Historia ime andikwa.
π₯π₯π₯π₯ .
02/08/2026
Viongozi wa tawi la yanga YANGA ON FIRE Wakiwa katika Mkutano Mkuu wa club na Uchguzi Mkuu unatakao fanyika Leo tarehe 02/08/2026 Katika ukumbi wa Super Dome Masaki.
Leo wananchiii tuna jambo letu ππ
ππ
.
.
π₯π₯π₯π₯
Viongozi na wanachama wa ya tawi la YANGA ON FIRE wakiwa kwenye mkutano mkuu wa tawi kwa mwaka 2026.
Waki jaribu kutoa maoni mbalimbali kupitia madia kubwa kabsa apa nchini Azam Sports.
Mkutano ulikua wa mafanikio makubwa k**a tawi kuelekea msimu ujao tume weka mikakati ya kusaipoti timu ya Young Africans Sports Club kuhakikisha tuna shinda kila mchezo nakubeba kila kombe tutakalo shiriki hakika yajayo yana furahisha.
πͺπͺπ°π°π
π₯π₯π₯π₯ .
27/07/2026
Whaaaaaaat a player SHASHAA MAN is green and yellow ππ
Karibu kwenye time ya wananchii timu ya mabingwa wa ki Historia Africa mashariki na Kati Young Africans Sports Club ππ.
Asante Sana Tajiri GSM GSM π
PETER SHALULILE NI MWANANCHIIIIIII ππ
πͺπͺπ°π°π
ππ
π₯π₯π₯π₯
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam