United Swahili

United Swahili

Share

Taarifa mbalimbali za klabu ya yetu ya Manchester United kwa kugha ya kiswahili.

USAJILI | MATUKIO YA MECHI | INTERVIEWS | BANTS| UTANI KWA ARS, CHEL, LIVER, MAN CITY| LALIGA| SERIE A| BUNDESLIGA

25/07/2026

Oyaa hii jezi inakukumbusha enzi za AIG Gen Z mlikuwepo? Ubingwa wa ligi msimu huu lazimaπŸ†

Follow United Swahili kwa taarifa za Man United

25/07/2026

Na hawa ni watoto tu πŸ”₯πŸ”₯ Arsenal, Man United, Liverpool jiandaeni msimu ujao napiga 4G kila mtu

Man U bingwa wa EPL 2026/27 πŸ”₯πŸ™Œ

Follow United Swahili kwa taarifa za Man United

21/07/2026

Wakuu tumwamini Michael Carrick maana sio kwa
matokeo haya πŸ˜­πŸ™Œ
Tunafungwaje na Wrexham??

Follow United Swahili kwa taarifa za Man United

21/07/2026

Hapo vepe mashabiki wa Man United??
Rashford akija akae benchi au aanze??

Follow United Swahili kwa taarifa za kimichezo

Photos from United Swahili's post 21/07/2026

Huyu mwanetu arudi matofalini au tubaki na Cunha & Mbeumo?
Yani maoni yako shabiki wa Man United?

Follow United Swahili kwa taarifa za Man United

13/07/2026

Hapa tunawapiga Arsenal 4-0, Man City 3-0, alafu Liverkuku 4-0 na Chelsh*t 5-0
Msimu ukiisha sisi ndo mabingwa wa EPL 26/27

Follow United Swahili kwa taarifa za Man United

13/07/2026

Kwani huyu kocha Tomasoooo anashida gani na Kobbie Mainoo??
Wakina Rice Ubwabwa wanachoma na kuchoka alafu dogo anakaa benchi πŸ™ŒπŸ˜­

Follow United Swahili kwa taarifa za Man United
mufc

03/07/2026

Waaafrika wanacheza k**a wanaenda harusini πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­

03/07/2026

Manchester Uniteeeeeeeed ❀️❀️

Follow kwa taarifa za Man United

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

MNH
Dar Es Salaam