Dar Digital

Dar Digital

Share

Karibu kwa habari za Michezo

07/07/2026

🚨Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili dhidi ya timu ya Taifa ya Misri.

➡️Magoli ya yamefungwa Romero ,Messi na Fernandez kwa upande wa Argentina wakati magoli mawili ya Misri yamefungwa na Yasser Ibrahim na Mostafa Ziko.

NB. kumzuia Messi ni k**a kuoga maji ya upupu maana ....

07/07/2026

🚨Mchezo wa hisani kati ya timu Samatta na timu kiba umemalizi kunako dimba la kwa timu timu Samatta kuibuka na ushindi wa mabao ( 5-3) ya timu kiba .

Hii ni mara nyingene tena Timu Samatta wanaendelea kushinda mbele ya timu kiba kwenye hii michezo wa hisani ....

07/07/2026

🚨Nyota wa Timu ya Taifa ua Ufaransa Kylian Mbappé amemjibu seneta wa Paraguay Celeste Amarilla baada ya kumtolea kauli ya kibaguzi.

➡️Kufuatia mechi ya Ufaransa, mwanasiasa huyo wa Paraguay alitoa maoni makali akimkosoa Mbappé na kumuita mnyama (Chimpanzee) na mtu mwenye kinyongo, kiburi na mwenye sura mbaya.

➡️Kylian Mbappé anajibu kwa kauli hiyo akisema;

🎙️“Bi Celeste Amarilla, hustahili kuwa kwenye nafasi yako, Huwakilishi Paraguay, nchi ambayo imejawa na shauku na heshima katika mashindano yote.”

🎙️“Kupitia uzembe wako na ubaguzi dunia nzima tayari imesahau safari na juhudi za kihistoria ambazo wachezaji wako walitimiza wakati wa Kombe la Dunia, na kutoa nafasi kwa mwanamke asiye na uwezo ambaye anatoa taswira mbaya zaidi ya nchi yake.”

🎙️“Sitawaruhusu watu k**a yeye uhuru wa kueneza chuki na ubaguzi wa rangi duniani kote.”

-Amesema Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufuransa Kylian Mbappe ..

07/07/2026

🚨Roberto Martínez amejiuzulu k**a kocha mkuu wa Ureno kufuatia timu hiyo kuondolewa katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia la FIFA la 2026.

➡️Shirikisho la Soka la Ureno (FPF) limethibitisha kuwa Martínez hataendelea na majukumu yake, huku mchakato wa kumtafuta kocha mkuu mpya ukitarajiwa kuanza mara moja.

➡️Martínez alichukua mikoba ya kuinoa Ureno mwaka 2023 baada ya kuondoka kwa Fernando Santos. Katika kipindi chake, aliiongoza timu hiyo katika mashindano mbalimbali makubwa, ikiwemo Kombe la Ulaya na Kombe la Dunia la 2026.

➡️Kuondoka kwake kunakuja kufuatia kumalizika kwa kampeni ya Ureno katika Kombe la Dunia la 2026, ambapo timu hiyo iliondolewa katika hatua ya 16 bora baada ya kufungwa 1-0 na Hispania.

➡️Sasa macho na masikio ya mashabiki wa soka yanaelekezwa kwa Shirikisho la Soka la Ureno, ambalo linatarajiwa kutangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Martínez kuelekea maandalizi ya mashindano yajayo.

07/07/2026

Ila watu na Goat.....

07/07/2026

Mhmhmh......

07/07/2026

Goli la kideo ndo hii sasa ......

Photos from Dar Digital's post 07/07/2026

Leo ni siku ya saba saba .......,

Najaribuli kutanza kumbukumbu ya tarehe muhimu....

Nipo msuva na Dullah...

07/07/2026

Wewe unaweza kukaa bila kufanya.....

06/07/2026

🚨Timu ya Taifa ya Ureno imetolewa rasmi kwenye Kombe la Dunia kwa bao 1-0 dhidi ya Spain goli pekee lililopigwa na Merino.

➡️Sasa ni rasmi vita ya Ronaldo na Messi kwenye ngazi za Timu ya Taifa imeisha kwani Ronaldo alitangaza ndio mwisho wake kushiriki kwenye Kombe la Dunia.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Telephone