Simba Jr Sport+255

Simba Jr Sport+255

Share

Ukurasa Maalumu kwa habari za Michezo na kwa zaidi Simba. Whatsapp 0625302091

07/08/2026

Pyramid wanaendelea kujifua kuelekea Msimu ujao. Wanataka kurejesha utawala wao kwenye Kombe la Afrika

Ikumbukwe kua wamepangwa kuanza dhidi ya Gor Mahia ya Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ

07/08/2026

πŸš¨πŸ† CECAFA KAGAME CUP | PLAY-OFF YA NAFASI YA 3

πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal πŸ†š Jamus SC πŸ‡ΈπŸ‡Έ

πŸ“… Leo, Agosti 7
⏰ Saa 10:00 Jioni πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
🏟️ Amahoro Stadium, Kigali πŸ‡·πŸ‡Ό

Mchezo huu utaamua timu itakayomaliza nafasi ya tatu kwenye CECAFA Kagame Cup 2026. Mshindi ataondoka na zawadi ya US$10,000.

07/08/2026

Wanetu Gongowazi wamepuyanga, wamebuni mapaziaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈ

07/08/2026

Fundi πŸ”₯

07/08/2026

Fundi Jabaar πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

07/08/2026

Neo Gift Maema amerejea πŸ”₯🦁

07/08/2026

Ni Simba day 2026 mambo yameivaaπŸ”₯🦁

07/08/2026

🚨BARCELONA YAMWINDIA RODRI! πŸ‡ͺπŸ‡ΈπŸ”΅πŸ”΄

Barcelona imewasilisha ofa ya €55 milioni (takribani TSh bilioni 168) kwa Manchester City kwa ajili ya kumsajili Rodri.

πŸ’° €45M β€” TSh bilioni 137.5 ikiwa ni malipo ya uhakika
πŸ’° €10M β€” TSh bilioni 30.6 katika bonasi

Manchester City kwa sasa inataka €65M, sawa na takribani TSh bilioni 199.

πŸ”„ Mazungumzo yanaendelea, huku Barcelona ikiwa na matumaini ya kukamilisha dili hilo kwa chini ya €60M.

PremierLeague

07/08/2026

🚨 MAREFA WETU HAWAAMINIKI.

Kati ya marefa wanne ambao watachezesha Final ya CECAFA leo, hakuna refa kutoka Tanzania hata mmoja

Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ imetoa mwamuzi, UgandaπŸ‡ΊπŸ‡¬ imetoa Mwamuzi ila Tanzania hawajatoa mwamuzi

Ishara mbaya sana hii kuonyesha ligi yetu haina marefa bora ikiwa nchi k**a k**a Djibouti ambao soka lao lipo chini ila wametoa mwamuzi kuna ni i tena hapo!

Tujitafajari...

07/08/2026

🚨 SIMBA VS YANGA..

Mwamuzi bora Afrika Omar Abdulkadir Artan yupo Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό leo, akichezesha mechi ya Final kati ya Gor Mahia dhidi ya Rayon Sport

Ingependeza sana k**a TFF wakifanya mazungumzo na Omar, apite Tanzania kuchezesha Derby ya Ngao ya jamii pale Zanzibar

Derby inapendeza pale ikiwa haina Makando kado na marefa k**a hawa ndio wanaotakiwa. TFF fanyeni jambo refa wa FIFA huyu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam