JUBON Online

JUBON Online Local and International Sports Updates

27/08/2026
23/08/2026

Amecheza

Fc Bondeni
Mbweni Fc
yanga Exports club na nyinginezo, unadhani nini kinamfelisha Abdul Makame kurudi kwenye ubira wake?

21/08/2026

Kuna timu zitatema bungo soon.

19/08/2026

DEBATE

PENALTY OR NO PENALTY?

03/08/2026

Akili kubwa k**a hizi ndiyo zingekaa Bungeni sasa!

Staa wa muziki SIMBA..!🦁 ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba amefanikiwa kupata mtoto wa k**e kupitia mp...
02/08/2026

Staa wa muziki SIMBA..!🦁 ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba amefanikiwa kupata mtoto wa k**e kupitia mpenzi wake Zuchu.

Hongera kwao.

Dakika ya 70Australia 1-1 Egypt E. Ashour 13'Hany M. (OG) 55'
03/07/2026

Dakika ya 70

Australia 1-1 Egypt

E. Ashour 13'
Hany M. (OG) 55'

29/05/2026

Hawa madogo wanatuheshimisha sana.

MBAPPE NA REAL MADRID HUENDA YAKAISHA KABLA YA MUDA...Zaidi ya mashabiki million 30 wamesaini mkataba wa kumtaka mshambu...
07/05/2026

MBAPPE NA REAL MADRID HUENDA YAKAISHA KABLA YA MUDA...

Zaidi ya mashabiki million 30 wamesaini mkataba wa kumtaka mshambuliaji KYLIAN MBAPPE aondoke klabuni hapo huku wakidhani mchangi mdogo na kutokua na bahati kwa mchezaji huyo.

Kylian tokea amefika Madrid hawajashinda kombe lolote kubwa ikiwemo UEFA na LA LIGA, Mashabiki hao wanahisi kwamba kuna tatizo ndani ya mchezaji huyo.

06/05/2026

Yule Yule, Mwamba wa Lusaka tena katika "rescue" SIMBA SC wakiondoka na point 3 huku Clatous Chota Chama akifunga kwa mara nyingine.

Mwamba wa Lusaka aliingia kambani dakika ya 52 akipokea pasi ya Elie Mpanzu.

Sasa Mnyama yupo kileleni akiwa na na points 46 huku akicheza michezo 21 sawa na kinara wa ligi YANGA SC.

Address

Dar Es Salaam
16060

Telephone

+255761611242

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JUBON Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JUBON Online:

Shortcuts

Share