DAUD YANGA

DAUD YANGA

Share

https:// Daudmtemi9gmail.com

30/05/2026

Furaha ya ubingwa ukiwa na mwenza,,

30/05/2026

Mabingwa

30/05/2026

Mabingwa.

26/05/2026

𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡𝗚𝗔𝗝𝗜 - 𝗡𝗕𝗖 𝗣𝗟 🇹🇿 𝟮𝟬𝟮𝟱-𝟮𝟲

🇹🇿 1⃣4⃣ - Feisal Salum - Azam FC
🇺🇬 1⃣1⃣ - Allan Okello - Young Africans
🇿🇼 0⃣9⃣ - Prince Dube - Young Africans
🇧🇮 0⃣9⃣ - Ndumumwe Mossi -Singida Black Stars
🇹🇿 0⃣8⃣ - Paul Peter - JKT Tanzania
🇹🇿 0⃣8⃣ - Mudathir Yahya - Young Africans
🇿🇲 0⃣8⃣ - Clatoua Chama - Simba SC
🇨🇩 0⃣8⃣ - Fabrice Ngoy - Namungo FC
🇹🇿 0⃣8⃣ - Selemani Mwalimu -Simba SC
🇹🇿 0⃣8⃣ - Salehe Karabaka -JKT Tanzania
🇹🇿 0⃣8⃣ - Seleman Nado -Azam FC

25/05/2026

Kikosi kazi dhidi ya Namungo FC🔰💪🏽


25/05/2026

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆
🆚 Namungo FC
🗓️ 25 May 2026
🏟️ KMC Complex
⏱️ 12:30 Jioni


22/05/2026

𝐅𝐓’|

Young Africans SC 3🆚0 Singida BS


22/05/2026

𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓

🏆 🆚 Singida BS Wananchi tukutane kesho KMC

15/05/2026

YANGA SC : ''...mradi wetu utamilikiwa 50% na Yanga na 50% na GSM...'', Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, akielezea umiliki wa mradi wa Uwanja wa klabu hiyo.

Amesema hayo katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ambapo ameeleza kuwa mradi huo unatarajiwa kuchukua muda wa miezi 18 hadi 24 hadi kukamilika kwake.

15/05/2026

Utabeba mashabiki 20,000 wakiwa wameketi kwenye viti vyao , utakuwa na miundombinu ya kisasa sana

Ujenzi wake unatarajia kukamilika mwaka 2028 baada ya AFCON 2027

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Dar Es Salaam