Tyger trainertz

Tyger trainertz Certified fitness coach From
Online fitness trainer
Ready to travelοΏ½

16/09/2026

TAFADHALI WASILIANA NAMI KWA HUDUMA YA MAZOEZI BINAFSI - TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

POPOTE ULIPO - NITAKUFIKIA.
TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER.

25/08/2026

Jamani, naamini wengi mnaelewa kuwa mazoezi ni safari ngumu sana. Ukweli ni kwamba siku hazifanani na Kuna siku unakuwa huna kabisa hamasa wala mood ya kufanya mazoezi. Lakini ukipata motisha, unaweza kupata nguvu ya kuanza na kumaliza mazoezi yako vizuri.

Faida za zoezi hili:

1). Litakusaidia kujenga nguvu za mwili mzima.
2). Litakusaidia kupunguza mwili mzima.
3). Litakusaidia kujenga Stamina na uwezo wa kufanya shughuli kwa muda mrefu bila kuchoka haraka.
4). Litasaidia kuboresha usawa na uimara wa mwili.
5). Litakusaidia kuchoma kalori na kuboresha afya kwa ujumla.

K**a unahitaji mazoezi ya kufanya nyumbani yanayokufaa kulingana na kiwango chako, niko hapa kukusimamia hatua kwa hatua hadi ufikie malengo yako. Karibu tuanze safari ya mabadiliko pamoja. πŸ’ͺπŸ”₯

TAFADHALI WASILIANA NAMI KWA HUDUMA YA MAZOEZI BINAFSI - TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

POPOTE ULIPO - NITAKUFIKIA.
TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER.

18/08/2026

WOW!! 🀩
HE HAS LOST 5 KGS β€” β€œ FROM 96 KGS TO 91 KGS! IN JUST ONE MONTH ONLY β€œ

Jamani, naomba niseme ukweli… hakuna siku ambayo nimejisikia mwenye furaha k**a leo.

K**a mnamkumbuka huyu mwanafunzi wangu, alianza mazoezi tarehe 4 mwezi uliopita akiwa na uzito wa 96 kgs. Leo ametimiza mwezi mmoja tangu aanze safari yake, na sasa ana uzito wa 91 kgs.

Hii inamaanisha ameweza kupunguza kilo 5 ndani ya mwezi mmoja tu! πŸ”₯πŸ‘ na sisi k**a mnakumbuka Target yetu ilikuwa apungue kilo 4 tu! Ndani ya mwezi, Ivyo pongezi kubwa kwa kiwango kizuri alichonacho Mwanafunzi wangu.

Naomba tumpongeze sana kwa sababu haya si matokeo ya bahati. Yamepatikana kwa nidhamu, kujituma, kufuata ratiba ya mazoezi na mpango wa ulaji aliopangiwa.

Kila mafanikio ya mwanafunzi wangu ni furaha yangu pia. Changamoto za wanafunzi wangu ni jukumu langu, ndiyo maana natumia kila mbinu kuhakikisha kila mmoja anafikia malengo yake kwa njia salama na yenye matokeo.

Safari bado inaendelea. Mwezi ujao tunalenga kupunguza tena kilo 3 hadi 4 kwa kuendelea kuwa na nidhamu kwenye lishe na mazoezi.

Hongera sana, bingwa! Hii ni mwanzo tu. Tuendelee kupambana! πŸ’ͺπŸ”₯

TAFADHALI WASILIANA NAMI KWA HUDUMA YA MAZOEZI BINAFSI - TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

POPOTE ULIPO - NITAKUFIKIA.
TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER.

14/08/2026

JE, UNATAKA KUJENGA NGUVU ZA MIGUU NA KUCHOCHEA UKUAJI WA MISULI YA MIGUU? FANYA ZOEZI HILI MARA KWA MARA..

Habari ndugu zangu,

Naomba niseme kidogo na wanaume najua wengi wetu tukifika Gym hupenda sana kufanya mazoezi ya kifua, mikono na mabega, lakini mnasahau sana mazoezi ya miguu. Ukweli ni kwamba miguu ndiyo msingi wa mwili. Ukiwa na miguu yenye nguvu, mwili wako unakuwa imara zaidi na hata mazoezi mengine unaweza jikuta unayafanya kwa urahisi.

K**a ndio unaanza kufanya mazoezi au unataka kuongeza nguvu za mwili, usiache kuyapa nafasi mazoezi ya miguu kwenye ratiba yako.

Faida za zoezi hili kwa wanaume naomba niwatajie hapa chini.πŸ‘‡πŸΎ

1. Litakusaidia kujenga nguvu za miguu na kuongeza uimara wa mwili.
2. Litakusaidia kuchochea ukuaji wa misuli ya miguu.
3. Litakusaidia kuboresha usawa wa mwili na kupunguza hatari ya majeraha.
4. Litakusaidia kuongeza nguvu na uwezo wa kufanya shughuli za kila siku kwa urahisi.
5. Litakusaidia kujenga mwili wenye uwiano mzuri na kuongeza kujiamini.
6. Litakusaidia kuboresha mzunguko wa damu mwilini na kuongeza kujiamini.

Usidharau mazoezi ya miguu. Anza taratibu, yafanye kwa usahihi na kwa mwendelezo. Matokeo yake utayaona kadri muda unavyokwenda.

PLEASE CONTACT ME FOR PERSONAL TRAINING SERVICES – TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

WHEREVER YOU ARE – I WILL COME TO YOU.
TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

12/08/2026

IMARISHA MWILI MZIMA KWA ZOEZI HILI LINALOLENGA MABEGA, MIKONO, MAPAJA NA MIGUU.πŸ‘‡πŸ½

Naomba niwaambie kitu hapa. Ukweli ni kwamba watu wengi hufikiri mazoezi mazuri ni yale ya kutumia vifaa vingi au uzito mkubwa, lakini ukweli ni kwamba hata mazoezi ya kawaida yakifanywa kwa usahihi na kwa mwendelezo mzuri huleta matokeo mazuri.
Usisubiri mpaka afya yako ianze kukusumbua kwa maradhi ndipo uanze kufanya mazoezi. anza na hatua ndogo kulingana na uwezo wako, kuwa na nidhamu na usikate tamaa. afya bora hujengwa taratibu kupitia mazoezi ya mara kwa mara.

Naomba hapo chini niwatajie faida tano (5) za zoezi hili analofanya mwanafunzi wangu.

1. litakusaidia kuimarisha misuli ya mabega na mikono.
2. litakusaidia kuongeza nguvu za miguu na mapaja.
3. litakusaidia kuimarisha misuli ya tumbo (core).
4. litakusaidia kuongeza uwezo wa mwili kufanya kazi na shughuli za kila siku kwa urahisi zaidi.
5. litakusaidia kuongeza stamina yna kuchoma kalori kwa sababu linahusisha sehemu nyingi za mwili kwa wakati mmoja.

PLEASE CONTACT ME FOR PERSONAL TRAINING SERVICES – TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

WHEREVER YOU ARE – I WILL COME TO YOU.
TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
11101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tyger trainertz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share