Dubenga

Dubenga

Share

Ukurasa wa Dubenga Unakuletea Habari za Ajira, michezo na Burudani Kila Siku. Tangaza nasi bure, piga/Wsap 0743752764
Tembelea 👉 kwizi.top

18/08/2026

Nyota wengi wa soka la Tanzania wamempongeza gwiji la Soka, Jonas Mkude 'Nungunungu' Kwa kujiunga na Mashujaa FC wana Mapigo na Mwendo.
Baadhi ya nyota hao ni Nickson Kibabage, Dickson Job, Kibwana Shomari, Simon Msuva, John Bocco na Denis Nkane.

18/08/2026

TikTok tunapatikana k**a Zuko na YouTube ni Godaf Films

17/08/2026

Alitaka Kuniambia nini huyu?

Photos from Dubenga's post 17/08/2026

Link ya video ipo kwenye comment

17/08/2026

Timu ya wanawake ya Malawi inaonekana k**a ya wanaume ya wanaume itakuwaje! 🤔

17/08/2026

Klabu ya Mashujaa FC, wana Mapigo na Mwendo wamemtambulisha George Mpole kwamba atakuwa sehemu ya Kikosi chao cha kuwatumikia Watanganyika.
#𝗡𝗕𝗖𝗣𝗿𝗲𝗺𝗶𝗲𝗿𝗟𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲

17/08/2026

Taja namba 6 na 7

17/08/2026

Uliona wapi samaki aliyevuliwa akapewa chambo?!

16/08/2026

Rank za ligi barani Afrika. NBC Premier League ipo nafasi ya 6 alama 5 nyuma ya aliye nafasi ya 3.

16/08/2026

Kikosi cha Mnyama Simba dhidi ya Kagera Sugar leo 16/08/2026.
Tabiri matokeo 👇

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Telephone