Pesa imetumika
YFTV
Thia is Yanga Football Club Fans Page, Daima mbele nyuma mwiko ๏ฟฝ
22/07/2026
Karibu Coach
15/02/2026
๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ
๐
๐ JS Kabylie
๐๏ธ 15 February 2026
๐๏ธ Amaan Complex
โฑ๏ธ 01:00 Usiku๐น๐ฟ
07/02/2026
๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ
๐
๐ AS Far
๐๏ธ 07 February 2026
๐๏ธ Stade olympique de Rabat
โฑ๏ธ 02:00 Usiku๐ฒ๐ฆ | 04:00 Usiku๐น๐ฟ
05/02/2026
Kazi Kazi wananchi
02/02/2026
Hongera Kampuni ya GSM TANZANIA LIMITED kwa kushinda tenda ya Ujenzi wa Uwanja wa Kihistoria wa Klabu yetu ya Young Africans SC๐๏ธ๐๐คฉ
Neno moja la pongezi kwa GSM, Mwananchiโฆ
02/02/2026
Viongozi wetu wakiongozwa na Rais wa Klabu walikuwa na ndoto ya kujenga uwanja, wakaamua kuwa uwanja ujengwe makao makuu ya klabu yetu. Wakashauriwa na wataalamu. Lakini wakagundua lazima wapate nyongeza ya ardhi ili uwanja wetu ukidhi matakwa CAF. Serikali ikatupatia eneo na Hati tunayo na baada ya mchakato huo tukatafuta mkandarasi ambaye atatujengea uwanja. Hatimaye GSM Tanzania LTD wameshinda tenda hiiโ Ally Kamwe
02/02/2026
โNichukue Fursa hii kuwatangazia Watanzania, Kampuni ya GSM TANZANIA LIMITED ndiyo iliyoshinda tenda ya Ujenzi wa Uwanja wa Young Africans Sports Clubโ
02/02/2026
โKabla sijaenda kwenye Agenda iliyotuleta leo hii, Uongozi wa Young Africans umenituma kuwaeleza haya yafuatayo, Jana wakati wenzetu wanamaliza mchezo wao zilitembea Video nyingi zikiwaonesha Mashabiki kumvamia mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sports Club Murtaza Mangungu, Young Africans tunakemea na kupinga vikali vitendo vya kihuni vilivyofanyika hapo jana, hata hivyo tunampa Pole Mwenyekiti pamoja viongozi wengine waliyopatwa na Kadhia ileโ Ali Kamwe
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
75903