08/12/2020
Tetesi ๐ด โช
Klabu Ya Pyramids Ya Nchini Misri imeripotiwa Kumfuatilia Winga Wa Simba SC Luiz Jose Miquissone,25 Kwa nia Ya Kumsajiri.
Luiz kwa Sasa anakadiriwa Kuwa Na Thamani Ya Bilioni 2 ambayo Ni sawa na Thamani ya Clatous Chama.
.
.
Kwa Tetesi Kibao Za Soka Gonga Link Hiiiii๐๐ Sports Tetesi
21/10/2020
Rekodi za Morisoni
Goli O
Asisiti 1 (Kwa Mbinde)๐๐
Kutaka Kupigana mara 1
Kustawisha Ndevu mara 1O
KuPost Instagram Mara 96
Hongereni ๐๐๐๐
21/10/2020
Kwahiyo ๐ธ๐ธ๐๐ mnavaa Suti Zenu na Raba Lini๐๐๐ธ
Ninasikia GSM amezichukua amezihifadhi kwa ajili ya Matumizi ya Mwakani Tena Kwenye Siku ya Mwananchi๐๐๐ธ๐ธ
16/10/2020
Kipindi kile Kuku Kishingo alipigwa na Kagere Bonge la Mbichwaa๐๐
Ndo Maana Siku Hizi Kagere anapangwa Kwenye Kila kikosi cha ๐๐
16/10/2020
Utambulishaji K**a Huu Upo ๐ธ๐ธ Tu Yaani Dunia Nzima๐๐
Wewe Uliona wapi Jezi Moja inashikiliwa na Watu 2O๐ธ๐ธ๐๐
16/10/2020
Carlinhos ana Mwezi Mmoja 1 Tu๐ฅ๐ฅ hapa Bongo lakini Tayari amefahamiana na Mastaa Kibao.Hadi Wema Sepetu ameanza Kujipendekeza๐
Lakini Chama Clatous ana Miaka 7 Yupo Bongo lakini Sisi Mastaa Hatuna Hata Mda nae๐๐๐๐