11/08/2026
Weka utabili wako nani anachukua ngao ya jamii Simba Ss au Yanga Sc?
Natoa taadhari kwa mwanachama yeyote aliyejiunga na ukurasa huu . Tuache kuandika maneno ya matusi,
11/08/2026
Weka utabili wako nani anachukua ngao ya jamii Simba Ss au Yanga Sc?
07/07/2026
Simba sc tunaomba mtuombe radhi Wana Yanga sio kwakutujazia kinyesi hiki .
01/07/2026
Pole sana tegemeo la Yanga sc Tunamuomba Mungu akuponye haraka maana unategemewa huku, Bila wewe mambo hayaendi .
01/07/2026
Mpira umeishia hivyo Bilgum 3 vs 2 Senegal japokiwa Senegal alikuwa anaongoza gem kwa goal 2 kabla ya Belgium kurudisha goal zote mbili ndani dakika mbili tu.
15/06/2026
Simba Sc Club Bora sana Africa
15/06/2026
chibu Diamond Platnumz Dangote Raisi wa wasafi Leta nawewe jina lako lingine unalolijua la msanii wetu
19/05/2026
Hapo nani kupendeza zaidi ya mwenzie?
11/05/2026
Star ✨✨✨✨ wa Simba sc wakiinjoy life .Simba nguvu moja
24/03/2026
Jamani wachina wanatafuta ugomvi na Mimi nimewaambia waniwekee supu na viazi mviringo , Ndiyo waniletee supu hii kweli jamani?
02/03/2026
Simba Sc wamenyimwa Gola la halali kabisa . Wanachokifanya marefalii wa Tanzania ni kuendekeza kuchukua posho za watu na kuwa ahidi ushindi pasipokuitazama iyo tinauwezo wa kupata ushindi ? Mwisho wa siku wanawakatisha tamaa wengine kwa juhudi wanazojituma.