UsafiPlus
Tunatumia mbinu zote mpaka sofa 🛋️ lako liwe safi kabisa
0765580299
UsafiPlus Cleaning solutions
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UsafiPlus Cleaning solutions, Makumbusho, Dar es Salaam.
Tunatoa huduma za usafi wa kisasa kwa kutumia mashine bora kwa nyumba,🧼 Huduma zetu ni pamoja na:🛋️ Usafiwa Sofa & Makochi🧹 Usafi wa Sakafu🚽 Usafi wa Vyoo🚗 Usafi wa Magari🏠 Usafi wa Nyumba & Ofisi
📞 Piga simu: 0765 580 299 / 0789 773 634
Ahsante mteja wetu wa #
Huduma za kusafishiwa carpet zipo pia
“Makochi yako yamejaa vumbi? 😊 UsafiPlus tunakufanyia usafi wa makochi kwa bei nafuu! Wahi sasa! 🛋️
Piga/Tuma ujumbe: 0765580299
”
🙏🏿🙏🏿
0765580299
11/07/2026
UsafiPlus
Tunatumia mbinu zote mpaka sofa 🛋️ lako liqe safi kabisa
0765580299
TUNASHUKURU ❤️
Kwa wateja wote wa UsafiPlus...
Asanteni kwa kutuamini na masofa yenu, carpets na nyumba zenu kwa ujumla 🙏
Book sasa: 0765 580 299
UsafiPlus 🧽 Tunashukuru!
Wateja wetu wapendwa,
Asanteni sana kwa kuendelea kutuchagua kwa Huduma za Usafi wa Masofa, Carpet na Nyumba kwa Ujumla.
Uaminifu wenu ndio nguvu yetu. Kila sofa mnayotuletea, kila nyumba mnapotufungulia mlango, tunaona k**a ni heshima kubwa.
Tunaahidi: Kuendelea kutoa huduma safi, kwa wakati, na kwa bei rafiki.
Piga sasa: 0765 580 299
UsafiPlus - Nyumba yako inastahili kung’aa ✨
UsafiPlus thanks wateja kwa kuendelea kutuamini sehemu zote haswa
UsafiPlus - Wataalamu wa Kusafisha Kabla Hujahamia
Nyumba mpya au ya zamani, chafu au na mavumbi...
Hatuna kazi ngumu.
Huduma zetu:
1. Kusafisha kina - Milango, madirisha, vyoo, sakafu
2. Kuondoa mavumbi + mende - Kae salama na familia yako
3. Tuko kwa wakati - Wewe hamia, sisi tunamaliza usafi
📍 Tunapatikana DSM na mikoa mingine
📞 Piga sasa, ukae nyumba saf
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Website
Address
Dar Es Salaam