DJUMA TV

DJUMA TV

Share

Ukurasa rasimi wa DJUMA TV karibu tupashane Habari Mbali Mbali | Kwa Matukio na Taarifa tupigie +255 684 692 584 #HiiniyakilaMmoja

29/08/2026
28/08/2026

Neno Moja kwa Kipenzi cha Mashabiki wa Simbasc

27/08/2026

Kwa Mahitaji ya Vifaa ya Stationary na kwenye Taasisi mbali mbali waone Viab Tech wanauza vifaa bora kutoka kampuni ya Canon

27/08/2026

HALMASHAURI KUU YA CCM YAMFUTA
UANACHAMA EMMANUEL NCHIMBI

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, iliyoketi leo tarehe 26 Agosti 2026 jijini Dar es Salaam, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kauli moja imeazimia kumfuta uanachama Ndugu Emmanuel Nchimbi.

Vamuzi huo umefikiwa kutokana na makosa ya kinidhamu
yanayokiuka Katiba, Kanuni na Miongozo ya Chama cha Mapinduzi.

26/08/2026

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Jeshi la Wanamaji la Marekani limefanikiwa kuondoa au kulipua mabomu yote ya baharini yaliyokuwa katika maji ya kimataifa ya Mlango Bahari wa Hormuz.

Trump alitoa kauli hiyo kupitia mtandao wake wa Truth Social, akisema amepokea taarifa kutoka kwa Jeshi la Wanamaji kuhusu kukamilika kwa zoezi hilo...

🎙️: Abdulkadri Maingule

Always Follow Us Now DJUMA MEDIA TZ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam