nolly one

nolly one

Share

media personality || For Football
@simbasctanzania

04/09/2026

🚨 NYIEEEEEEE KWANI ALIYEKO PEMBENI YA MESSI NI NANI TENAAAAAA....???

NB: K**a unamjua mtaje 🙌

03/09/2026

Coach Steve Barker

02/09/2026

Mwanasimba Neno moja kwa CHILAMBOOOOO

02/09/2026

🔥 KOCHA STEVE BARKER, HATUA ZIMEANZA! 🔥

★Mechi 5️⃣— Ushindi 5️⃣ 🏆
• Hakuna sare, hakuna kufungwa! STEVE BARKER ameanza safari yake SIMBA SPORTS CLUB kwa kishindo, akionesha utulivu, nidhamu na kiu ya ushindi.⚪️

• Kazi bado ni ndefu, lakini mwanzo huu unatupa sababu ya kuamini Mazuri zaidi! 🦁🔥

• Hongera Kocha, endelea kuipeleka SIMBA SPORTS CLUB juu! ❤️🤍

NB: CONGRATULATIONS ONCE AGAIN stevenrobert_barker 🙌

01/09/2026

🟥 Takwimu za Libasse Gueye kwa mwezi Agosti kwenye Ligi kuu
Mechi 5️⃣
Goli 1️⃣
Pasi za mwisho 5️⃣
Mchezaji bora wa mchezo 3️⃣

01/09/2026

🚨Kikosi Bora cha Mwezi Agosti (August Team of the Month):

Mfumo wa 4-3-3! 🌟📅⚽📊 Mwezi wa Agosti umekamilika kwa msisimko mkubwa wa Ligi Kuu ya NBC! Baada ya tathmini ya kina ya takwimu za mechi zote, hawa hapa wateule 11 walioonyesha kiwango bora na chenye muendelezo wa juu zaidi (Average Rating) mwezi huu: Vipengele vya Mwezi Agosti

👑 Mfalme wa Agosti (8.5 AVG): "Libasse Gueye" (Simba SC) anaingia kikosini akiwa mchezaji mwenye wastani wa juu zaidi wa kiwango mwezi huu mzima!

NB: Hasitokee mtu akajaribu kumfananisha Libasse na Takataka🛃

01/09/2026

We hans husitake kunichanganya na uchambuzi wako, sasa mtu kacheza mechi 5 zote ame assist na kashinda Goli alafu unataka kunafanisha na vitu vya ajabu😏. 🛃

01/09/2026

Huyu Nathan Chilambo mbona k**a kachelewa kuja simba jmn🙂‍↔️

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam
11101