04/09/2026
Siku ya pili ya maandalizi Botswanaπ°πͺπ½
content creator
04/09/2026
Siku ya pili ya maandalizi Botswanaπ°πͺπ½
04/09/2026
π¨π£ πππππππ: LOEMBA INNO AITWA TIMU YA TAIFA π¨π¬πΉπΏ
Kiungo wa Simba SC, Loemba Inno, ameitwa kwenye kikosi cha Congo π¨π¬ kwa ajili ya mechi za kufuzu AFCON 2027.
π¨π¬ Congo itacheza dhidi ya Namibia π³π¦ na Cameroon π¨π² mwezi huu.
π₯ Hongera Loemba Inno kwa kuitwa kwenye Taifa Stars ya Congo! π¦
03/09/2026
| Wananchi Yanga SC wanaanzia ugenini kwenye CAF Champions League kwa kibarua dhidi ya Gaborone United katika mtanange wa kuwania nafasi nzuri kwenye hatua za awali.
π
Jumamosi, Septemba 5, 2026
π Saa 2:00 Usiku
πΊ Azam Sports 2 HD
Nimoto juu ya moto
03/09/2026
Wananchi Kwenye Mtoko wa Duniaπ
*Here we go.*
> Young Africans Sports Club, the most decorated football club in Tanzania - East Africa presents the CAF Champions League 26/27 Kit
03/09/2026
π¨π£Jezi za Yanga SC za nyumbani π’, Ugenini π‘ na jezi ya tatu (third kit) β« kuelekea msimu huu wa mashindano ya CAF Champions League π₯πΉπΏπ
Unaona U*i gani ni mkali zaidi? ππ
Hizi hapa jezi za kimataifa za yanga
02/09/2026
Wanaoongoza kwa kufunga magori ya penati..
02/09/2026
π¨π¨π£ππππ ππππ: Nyota wa zamani wa Simba na TRA united,Valentino Nouma(26),amejiunga na klabu ya Tishreen SC ya Syria kwa miaka miwili.
Nouma amejiunga na timu hiyo k**a mchezaji huru baada ya kuachana na TRA.
Nouma ni balaa jipya Syriaβ