29/08/2026
Paris Saint-Germain ilishusha bei yake ya awali ya £145 milioni hadi £123 milioni kwa ajili ya kumuuza Bradley Barcola.
🇫🇷 PSG ilisisitiza kupata kiasi kikubwa zaidi ya fedha zilizolipwa kwa Morgan Rogers (£117M) na Elliot Anderson (£116M).
Pia, mabingwa hao wa Ufaransa walilenga kuvuka thamani ya dili lililompeleka Yan Diomande kwenda Real Madrid.
Kwa sasa, PSG imekusanya karibu £340M+ kupitia mauzo ya wachezaji ambao hawapo tena kwenye mipango ya klabu.
🔴 Liverpool na Barcola wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha dili hilo, ambalo linaweza kufikia £123 milioni pamoja na nyongeza.
📰 Chanzo: Ben Jacobs
29/08/2026
•MATOKEO YA SOKA JANA•
Ijumaa, August 28,2026
🇹🇿TANZANIA- NBC PREMIER LEAGUE
Fountain Gate FC 0-2 Mbeya City Fc
Geita Gold FC 2-2 Azam FC
Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC
🏴ENGLAND - PREMIER LEAGUE
Crystal Palace 1-4 Manchester City
🇪🇸SPAIN - LA LIGA
Racing Santander 3-2 Elche
Deportivo Alaves 1-0 Villarreal
🇩🇪GERMANY - BUNDESLIGA
Bayern Munchen 5-1 Stuttgart
🇮🇹ITALY - SERIE A
Milan 2-0 Venezia
🇫🇷FRANCE - LIGUE 1
Lille 2-2 PSG
🇳🇱NETHERLANDS - EREDIVISIE
Groningen 2-3 Fortuna Sittard
🇵🇹PORTUGAL - PRIMEIRA LIGA
Rio Ave 0-4 Sporting
🇷🇺RUSSIA - PREMIER LEAGUE
Akron Togliatti 2-2 CSKA Moscow
🇧🇪BELGIUM - PRO LEAGUE
Genk 4-0 Beveren
🇹🇷TURKEY - SUPER LIG
Genclerbirligi 1-1 Erzurumspor
🏴ENGLAND - CHAMPIONSHIP
Wrexham 1-2 Birmingham City
🇩🇰DENMARK - SUPERLIGAEN
Horsens 2-3 Viborg
🇺🇦UKRAINE - PREMIER LEAGUE
Kolos Kovalivka 0-0 Obolon
🇦🇹AUSTRIA - BUNDESLIGA
Austria Lustenau 0-4 Tirol
🇮🇪IRELAND - PREMIER DIVISION
Bohemians 3-0 Sligo Rovers
Galway United 1-1 Shelbourne
St Patrick's 0-2 Waterford
Drogheda United 2-3 Dundalk
🏴WALES - PREMIER LEAGUE
Barry Town United 4-2 Airbus
Cardiff Metropolitan 3-0 Briton Ferry
Connah's Quay Nomads 3-0 Cambrian United
Holywell 3-5 Caernarfon Town
Llandudno 2-0 Haverfordwest
Penybony 1-1 Flint
The New Saints 5-1 Colwyn Bay
Trefelin 1-1 Ammanford
🇬🇧NORTHERN IRELAND - PREMIERSHIP
Portadown 0-3 Coleraine
🇨🇾CYPRUS - FIRST DIVISION
Krasava 0-3 Omonoia 29th May
Olympiakos Nicosia 3-3 Nea Salamis
🇷🇴ROMANIA - LIGA I
Voluntari 2-2 Otelul
Universitatea Cluj 2-3 Petrolul
🇧🇬BULGARIA - FIRST LEAGUE
Slavia Sofia 1-1 Septemvri Sofia
CSKA 1948 2-0 Lokomotiv Plovdiv
🇳🇬NIGERIA - PREMIER LEAGUE
Shooting Stars 2-1 Inter Lagos
🇪🇬EGYPT - PREMIER LEAGUE
Al Qanah 1-1 El Gouna
Enppi 1-3 Wadi Degla
Al Ittihad 1-3 Ceramica Cleopatra
ZED 0-2 Al Ahly
🇸🇦SAUDI ARABIA - PROFESSIONAL LEAGUE
Al-Riyadh 1-0 Neom
Al-Fayha 3-2 Abha
Al-Nassr 2-1 Al-Taawon
Al-Khaleej 1-5 Al-Hilal
🇨🇳CHINA - SUPER LEAGUE
Dalian Yingbo 1-1 Beijing Guoan
Shanghai Shenhua 2-3 Shandong Taishan
Shenhua Peng City 0-1 Shanghai Port
🇮🇷IRAN - PRO LEAGUE
Chadormalu 0-2 Tractor
Paykan 0-0 Esteghlal Khuzestan
Aluminium Arak 2-2 Kheybar Khorramabad
Nassaji Mazandaran 0-2 Shams Azar Qazvin
Sepahan 2-0 Gol Gohar
Foolad 0-0 Esteghlal
🇪🇸SPAIN - SEGUNDA DIVISION
Tenerife 0-1 Sporting Gijon
🇩🇪GERMANY - 2.BUNDESLIGA
Bochum 0-1 Osnabruck
Eintracht Braunschweig 3-5 Hertha
🇮🇹ITALY - SERIE B
Cremonese 0-3 Modena
🇫🇷FRANCE - LIGUE 2
Clermont Foot 0-0 Sochaux
Stade Lavallois 0-3 Grenoble Foot
Montpellier 0-0 Boulogne
Nancy 2-0 Dunkerque
Rodez Aveyron 2-2 Pau
🇳🇱NETHERLANDS - EERSTE DIVISIE
Den Bosch 1-4 Vitesse
Volendam 6-1 Dordrecht
Jong Ajax 3-2 Helmond Sport
Jong AZ 1-2 Maastricht
Oss 2-1 Jong Utrecht
Roda JC 2-2 NAC Breda
Waalwijk 2-2 Jong PSV
🇵🇹PORTUGAL - SEGUNDA LIGA
Leiria 2-0 Tondela
29/08/2026
Aston Villa wamenasa Saini ya kiungo, Leon Goretzka kutoka Bayern Munchen.
29/08/2026
Aston Villa wamenasa Saini ya mshambuliaji, Nicolas Jackson kutoka Chelsea kwa dau la €55.5m.
29/08/2026
Mshambuliaji raia wa Spain, Alvaro Morata amejiunga na Leganes kwa mkopo kutoka Como huku kukiwa na kipengele cha kununuliwa moja kwa moja.
28/08/2026
•MATOKEO YA SOKA JANA•
Alhamisi, August 27,2036
🇹🇿TANZANIA- NBC PREMIER LEAGUE
Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar FC
Simba SC 1-0 Costal Union
🌍EUROPA LEAGUE
Ararat-Armenia 1-0 Universitatea Craiova (Agg 2-1)
Iberia 1-2 Jagiellonia (Agg 1-6)
Kauno Zalgiris 1-0 Besiktas (Agg 1-3)
Lillestrom 1-1 Egnatia (AET 2-1) (Agg 2-1)
Omonoia 4-2 Sint-Truiden (Agg 4-3)
Viktoria Plzen 4-1 Crvena Zvezda (AET 5-1) (Agg 5-4)
RB Salzburg 3-0 Mjallby (Agg 4-0)
Aarhus 1-3 Benfica (Agg 2-6)
CSKA Sofia 0-2 OFI Crete (Agg 0-5)
Thun 2-2 L**h Poznan (Agg 2-9)
Anderlecht 3-0 Kairat Almaty (Agg 6-0)
Ferencvaros 4-0 Trabzonspor (Agg 5-0
🌍CONFERENCE LEAGUE
KuPS 1-0 Shamrock Rovers (Agg 2-1)
Jablonec 1-0 Rangers (4-3 on penalties) (Agg 1-1)
Maccabi Tel Aviv 1-1 Lugano (Agg 2-3)
Qarabag 1-2 Twente (AET 1-4) (Agg 2-4)
Freiburg 4-1 Motherwell (Agg 7-2)
Monaco 4-1 Gornik Zabrze (Agg 7-3)
Brann 3-2 PAOK (Agg 4-3)
Copenhagen 4-1 Inter Turku (Agg 4-1)
Hradec Kralove 1-1 Panathinaikos (AET 1-2) (Agg 3-4)
Inter Escaldes 0-0 Drita (4-2 on penalties) (Agg 2-2)
Pafos 2-2 Dinamo City (AET 4-2) (Agg 5-3)
Rakow 2-2 Hajduk Split (AET 2-3) (Agg 4-5)
Riga 2-1 Klaksvik (Agg 2-1)
Ajax 5-3 Sion (Agg 9-5)
Hapoel Tel Aviv 0-1 Atalanta (Agg 0-1)
St.Gallen 2-3 Nordsjaelland (Agg 2-4)
Austria Vienna 0-0 Braga (Agg 0-2)
Borac Banja Luka 3-1 Vikingur Reykjavik (Agg 6-2)
Brighton 4-0 Tromso (Agg 4-0)
Rijeka 1-4 Midtjylland (Agg 1-6)
Hibernian 2-3 Gent (Agg 2-3)
Larne 0-2 Lincoln Red Imps (AET 0-3) (Agg 2-3)
Partizan 2-1 Getafe (Agg 3-4)
🏴ENGLAND - EFL CUP
Chelsea 2-0 Luton Town
Fulham 3-0 Wimbledon
🇪🇸SPAIN - LA LIGA
Celta de Vigo 1-2 Osasuna
Barcelona 2-0 Athletic Bilbao
🇪🇬EGYPT - PREMIER LEAGUE
Modern Sport 2-0 Ghazl El Mahallah
Arab Contractors 2-3 Al-Masry
Pyramids 2-0 Abu Qir Semad
28/08/2026
🚨 CHADRACK BOKA YUPO KWENYE KIWANGO BORA SANA 🔥
Chadrack Isaka Boka yupo kwenye fomu ya kiwango cha juu sana akionyesha mwanzo bora wa msimu wa 2026|27 kunako klabu ya Young Africans. Beki huyu wa kushoto raia DR Congo 🇨🇩 amekuwa silaha kubwa kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi, akiwa ameshiriki katika kupatikana mabao 4 kati ya 11 ya Young Africans kwenye ligi katika kampeni hii hadi sasa .
Kiwango hiki kikubwa kimemfanya kuwa chaguo la kwanza kwenye kikosi cha Yanga, akiwapa changamoto kubwa wachezaji wengine wa nafasi hiyo ....... Uwezo wake wa kupiga krosi za hatari, kukaba, na kufanya ''counter-press'' unamfanya kuwa mmoja wa mabeki wa pembeni hatari zaidi kwenye NBC Premier League kwa sasa .
Chadrack Boka anaongoza kwenye takwimu hizi dhidi ya walinzi wengine katika ligi kuu Tanzania bara ndani ya kampeni hii hadi sasa .
📐 Kutengeneza nafasi nyingi za mabao (11)
📏 Kutengeneza nafasi nyingi kubwa (5)
🔥 Kuchangia mabao mengi (4)
🎯 Kutoa pasi nyingi za mabao (2)
⚽ Kufunga mabao mengi (2)
TAKWINU ZA UJUMLA 📌
Hizi hapa ni takwimu zake za ujumla kwenye ligi tangu ulipoanza msimu huu wa 2026|27 .
◉ Mechi - 3
◉ Dakika alizocheza - 236
◉ Krosi - 16
◉ Nafasi alizotengeneza - 11
◉ Nafasi kubwa alizotengeneza - 5
◉ Mashuti yaliyolenga lango - 3
◉ Mchango wa mabao - 4
◉ Pasi za mwisho - 2
◉ Mabao - 2
ℹ️ Kiwango cha Boka kimeimarika kwa kiasi kikubwa, bila shaka changamoto za msimu uliopita zimekuwa darasa tosha kwake na sasa anacheza soka la kiwango cha juu sana ambalo mashabiki wa Yanga walikuwa wakilitamani .
Credit: Takwimu za soka
27/08/2026
Chelsea wameanza mazungumzo na wawakilishi wa Emiliano “Dibu” Martínez, golikipa wa Aston Villa, kwa lengo la kumsajili katika dirisha hili la usajili. Hatua hiyo imeanza kuvuta hisia kubwa huku Chelsea wakionekana kumtazama Martínez k**a mmoja wa chaguo muhimu kwenye nafasi ya golikipa.
Mazungumzo kati ya Chelsea na kambi ya Martínez yanaendelea, huku pande zote zikionyesha imani kubwa kwamba wanaweza kufikia makubaliano. Hata hivyo, bado kuna hatua kadhaa za kukamilisha kabla ya dili hilo kuwa rasmi.
Ikiwa usajili huo utakamilika, Martínez anaweza kuwa nyongeza kubwa katika kikosi cha Chelsea kutokana na uzoefu wake mkubwa katika soka la kiwango cha juu. Kwa sasa, macho yote yanaelekezwa kwenye hatua inayofuata ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili. 🔵🔥🧤
27/08/2026
Timu ya Yaya Touré, Slovan Bratislava, imefuzu kwa hatua ya ligi ya Ligi ya Mabingwa! 🤯🔥
Waliifunga Celje kwa jumla ya mabao 3-2, huku Cristian Martínez akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza.
27/08/2026
Kiungo Khalid Aucho 🇺🇬 emejiunga na timu ya Sidama Bunna Fc ya Ethiopia 🇪🇹 akitokea Singida Black Stars
Sidama Bunna wamemsajili ili kuongeza nguvu na uzoefu kwenye kikosi chao kwasababu ya ushiriki wao kwa mara ya kwanza katika michuano ya klabu bingwa barani Africa.