Hamida Esports

Hamida Esports

Share

H sports lady

Photos from Hamida Esports's post 13/08/2026

Enjo😍😍😍

vijana wame furahi hasa baada ya kumkanda my wetuπŸ’šπŸ’›



π”π’πˆπ’π€π‡π€π” πŠπ”π…πŽπ‹π‹πŽπ–
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mwanayangaofflcial

13/08/2026

Mmeamka salama au Bado mmelala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ

13/08/2026

Chairman Murtaza Mangungu.

Steve Champion

12/08/2026

Mpemba Uyo Hapo Anarudi Zake Tanzania Ngoja Tuone Atasaini Timu GaniπŸ€” Bado Siku 3 Dirisha La Usajili Lifungwe

12/08/2026

🚨 JAYRUTT & MO DEWJ

Hizi story zitanoga pale tukizisema huku Feisal amevaa u*i wa Simba au akiwa tayari kwenye kikosi cha Simba wengi wataamini hapo

Ila Mhaya alidhamiria kitu ukiona kasema ujue hilo limeisha, japo wamepunguza kasi ila lengo la kuweka challenge ya jezi ni kuweka mauzo yawe vizuri na ujio wa Feisal ulete faida pia kwenye jezi

Challenge imeletwa baada ya kua na uhakika kua Feisal anakuja Simba na kila kitu kipo sawa, hawezi kuwachosha watu wanunue jezi harafu wasimuone mchezaji

Mlionunua na mnaoendelea kununua jueni kua Jayrutt sio tapeli akisema anamaanisha Feisal ni Mnyama πŸ”΄βšͺ🦁

12/08/2026

Game
On Darby

12/08/2026

ISMAIL MGUNDA AANZA SAFARI YA DAR

🚨 Ismail Mgunda ameondoka kwenye kambi ya Mashujaa jijini Tanga na kuanza safari kuelekea Dar es Salaam.

Mashujaa wamempa ruhusa baada ya Simba SC kukamilisha malipo yaliyokuwa yakihitajika. Mgunda sasa yupo njiani kuelekea Dar. πŸ”΄βšͺ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Bariadi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

157 MWANZA
Bariadi