29/08/2026
Hongera kwa Wanandoa Kanisa la FPCT GASWA PALISHI YA SAGATA.
Mungu awajenge katika upendo, awape amani, furaha na neema ya kudumu pamoja.
Upendo wenu uzidi kukua kila siku, na ndoa yenu ibarikiwe milele.
27/08/2026
Hongera kwa Wanandoa Kanisa la FPCT Ngulyati Parishi ya Kasori.
Mungu awajenge katika upendo, awape amani, furaha na neema ya kudumu pamoja.
Upendo wenu uzidi kukua kila siku, na ndoa yenu ibarikiwe milele.
27/08/2026
Hongera kwa Wanandoa Hawa FPCT BARIADI
Mungu awajenge katika upendo, awape amani, furaha na neema ya kudumu pamoja.
Upendo wenu uzidi kukua kila siku, na ndoa yenu ibarikiwe milele. 💍❤️
27/08/2026
Matukio Picha katika Ibada.
27/08/2026
Hongera kwa Hatua hii Vijana wetu Kutoka FPCT Mwamulapa Parishi ya Kasori
Mungu awajenge katika upendo, awape amani, furaha na neema ya kudumu pamoja.
Upendo wenu uzidi kukua kila siku, na ndoa yenu ibarikiwe milele.
27/08/2026
Hongera kwa Wanandoa Hawa kutoka Parishi ya Dutwa Tawi la Mwauchumu
Mungu awajenge katika upendo, awape amani, furaha na neema ya kudumu pamoja.
Upendo wenu uzidi kukua kila siku, na ndoa yenu ibarikiwe milele. 💍❤️
27/08/2026
Hongera kwa Wanandoa Hawa Toka kanisa la FPCT DITIMA Parishi ya Ikungu