SIMBA YETU JAMII YETU

SIMBA YETU JAMII YETU

Share

SIMBA NI JAMII YA WATU WENYE NGUVU NA USHIRIKIANO MKUBWA WENYE KUPENDA AMANI,NA MATENDO MEMA

12/02/2026

"Wachezaji wetu wanaendelea vizuri ukitoa Wilson Nangu ambaye taarifa ni kwamba mwishoni mwa wiki tutampeleka Afrika Kusini kwa ajili ya kwenda kufanyiwa upasuaji, ameumia kifundo cha mguu. Baada ya upasuaji tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusema atakuwa nje kwa muda gani. Kwa upande wa Yakubu Suleiman maendeleo ni mazuri na muda wowote atarejea kikosini."- Semaji Ahmed Ally.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Arusha