Norbert Hongoli

Norbert Hongoli

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Norbert Hongoli, Sports, Karatu, Arusha.

PM Lumen Radio
Football Announcers
Sports Pundit
General Coordinator TFF/TPLB
Media Officer ARFA
FIFA Grassroots & CAF Diploma D
Fahari ya soka la mtaa
Njombe Finest
Mc Hongoli

12/08/2026

Wale Wachaga wa Kibosho Marangu,Rombo,Machame yaani wale kinaShirima,Masawe,Mushi,Waramba,Shayo,Msuya,Lyimo,Kimaro,Urassa,Swai,Macha,Minja,Mrema,Lema tujauane kwenye Comment.

For Booking
Mc Hongoli 0750704851

Photos from Norbert Hongoli's post 10/08/2026

Leo nimeshiriki warsha ya waratibu wa mchezo (General coordinator) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa NSSF Mafao House Ilala Dar Es salaam,iliyoandaliwa na TFF kwa kushirikiana na bodi ya ligi kuu (TPLB). Asanteni sana TFF & TPLB kwa Semina Nzuri sasa Nipo tayari kuanza msimu mpya wa mashindano 2026/27 tukutane uwanjani.
📸 Honest Amon Mwanitega

08/08/2026

TODAY PROJECT SEND OFF

👰‍♀️Mis Agnes
🎤Mc Hongoli
🎶Deejay Well
🏟️Mbulumbulu

Agness akasema;🗣️“Muda wangu umefika wa kuwa na mwenzi wangu”. Ndugu zake na Agness wakamwambia, Je, utaenda na mtu huyu? akajibu “Nitaenda”. kwa maelezo hayo basi Mc wenu nawakaribisha wageni wote waalikwa katika siku Nzuri ya Malkia Agness,watu wa Mbulumbulu tupatane hapo.

02/08/2026

Hello Agost 👋😍

Mc wenu nipo tayari kuwahudumia katika huu mwezi wa nane karibuni sana tufanye kazi.
I pray for new blessings, new money, good health, & positive vibes all month.❤️

Photos from Norbert Hongoli's post 30/07/2026

Godson & Sia ❤️ Wote wapo na furaha baada ya kufunga ndoa takatifu .

Mc Hongoli

Photos from Norbert Hongoli's post 28/07/2026

Asanteni sana GODSON & SIA kwa kutuamini kufanya kazi na HONGOLI ENTERTAINMENT brand ya kuaminika hakika hamkujutia kuwa nasi,karibuni wakati Mwingine.

📸 SANKAGRAPHICS

28/07/2026

🚨TRANSFER UPDATE Klabu ya TRA United upo kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji raia wa Kenya 🇰🇪 Mohamed Bajaber ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kumalizana na Simba Sc.

28/07/2026

Wameru mpo
Mkekwi mure Arishoi tuimbe na tutawane chimwi.

For Booking
Mc Hongoli 0750704851

27/07/2026

🚨TRANSFER UPDATE Klabu za Rhino Rangers na Kmc Fc zinapigana vikumbo kwaajili ya kuinasa saini ya Kiungo Sharifu Yahya ambaye kwa sasa yupo huru baada ya kumaliza mkataba na Rhino Rangers.

25/07/2026

🚨TRANSFER UPDATE Klabu ya Yanga imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa kutoka Nigeria 🇳🇬 Morice Chukwu kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Singida BS kilichobaki ni utambulisho tu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Karatu
Arusha
255