04/08/2026
Planting zinapatikana kwa urefu wowote utakaotaka. Hizo ndio tumeoteshea hizo mboga tukatengenezea frame ya mbao.
Inakaa juani na kwenye mvua bila kukatika sababu ni uv protected.
Karibuni sana Nane nane Arusha tumeshazitengeneza ziko tayari unachukua tu.
Zinasafirishika pia kirahisi, k**a uko mbali tunakutumia kwa bus.
Tuipumzishe mifuko ya cement kwa sasa😊
29/07/2026