29/07/2026
Mkutano kidogo 😅 maji imezidi unga 😂🫴
Let's play and talk soccer ���
29/07/2026
Mkutano kidogo 😅 maji imezidi unga 😂🫴
27/07/2026
Hapa ukipita hauna shingo 😂😂🙏
mambo ya ball ⚽💯
22/06/2026
Kuna mtu anataka mia Urgently na fathers day ameniacha kwenye upweke 😅😅
11/06/2026
Till death do us apart anataka kuenda na hajakufa manze 😂😂......
19/05/2026
City will drop points tonight against Bournemouth and Arsenal will be Champions 😂😂🫴
Sharnice Lukaku Kinyaa Jr Nziru semeni yees😂
17/05/2026
Wacha niekee mother in law 150 hasione k**a nacheza na fruit of her womb😂😂🫴
13/05/2026
Penye wazee hapaharibiki neno 💪🙏✌️
07/05/2026
"Enda kwanza ufunge mlango na usongeshe curtains kwa dirisha..... 😂😂
Nalo nalo 😂😂😂
06/05/2026
Huu mwaka ni wa Arsenali kweli 😂🫴Tumekaza ya kutosha ni masaa ya kukazua 😂😂😅
05/05/2026
Eti Chelsea jana amefungwa na Syomikuku FC 😂😂
season iishe jamani 😎😅