05/08/2026
Kupitia idara yetu ya Sme Sporting , tumepata fursa ya kuwa wapiga picha rasmi katika Ligi ya Rashidabdallah_supercup β Makala ya 7.
Hii ni hatua kubwa na ya kujivunia kwetu k**a SME GROUP, na inaonyesha imani ambayo wadau wameweka katika kazi yetu.
Tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wote wa Ligi ya Rashid Abdallah kwa kutuamini na kutupatia nafasi hii.
πΈ Don Farouk