23/08/2026
Moses Masiaga Murimi the incoming Kuria West MP 2027
This page is dedicated to sharing news, updates, and stories that matter to the Kuria community. Welcome to the official page of Kegonga Football Club.
Join us as we celebrate our culture, discuss important issues, and keep everyone informed about local events and developments. Kegonga FC is a community Soccer Club based in Kuria East, Migori County. We aim to shape the lives of young individuals within our community through Physical and Mental well-being, and character building. Keep following our Page ๐
23/08/2026
Moses Masiaga Murimi the incoming Kuria West MP 2027
17/08/2026
Mama Monica pale Gwitembe. Ground inasemaje watu wa Kuria East โ
15/08/2026
Gen Z ameweka bunduki chini ili apige picha kwanza ๐
15/08/2026
Huyu mjamaa alikuwa akisafirisha nyasi za ngโombe, kumbe ndani ya hizo nyasi alikuwa ameficha bangi. Leo polisi wamemk**ata pamoja na pikipiki aliyokuwa akitumia kusafirisha mzigo huo. Waah, hawa polisi wako na pua ndefu aje? Yaani wanaweza kunusa bangi kutoka mbali hivyo! Ama hii ni set up? Hapa kuna msaliti ama? ๐ค
11/08/2026
Hivi ndivyo hali ilivyo kwa sasa - Migori bridge
10/08/2026
Hii story ya Koromangucha - Kuria East inaudhi Sana. Kijana aliamua kupeleka babake sayuni kwa mzozo wa ardhi.
Huyo marehemu anaitwa Barante Mogesi. Inasemekana Mzee Barante mogesi alishambuliwa asubuhi akiwa shambani na kupata majeraha makubwa, ikiwemo shingoni, kabla ya baadaye kufariki.
Tukio hilo limewaacha wakazi katika hali ya mshtuko na majonzi. Polisi wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo na mazingira ya kifo hicho. Inadaiwa kuwa mshukiwa mkuu bado hajapatikana.
Mungu ailaze roho ya Mzee Barante Mogesi mahali pema peponi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa na wakazi wote wa Koromangucha kwa msiba huu mzito๐
09/08/2026
Hata k**a mtu ni wa tutam, lazima asalimiwe namna hii kweli?. Huyu jamaa alisema tutam akapewa kichapo k**a burukenge.
06/08/2026
Ajali za barabarani kila siku. This is around Masaba area.
03/08/2026
Nyamutiro Boarding Primary school - Kuria East ๐๐
02/08/2026
Kijana ya Okoth Obado, amelazwa hospitalini baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani alipokuwa akisafiri kutoka Nairobi kuelekea Migori akiwa anaendesha gari aina ya Lexus LX 600 linalokadiriwa kugharimu Shilingi milioni 18. Tumuombee afueni ya haraka ๐